Viazi sana hawa pimbiPdf Ya Mwisho ilikuwa Tarehe 2/Nov.
Kutoka tarehe 2/Nov hadi leo 14/Nov ni almost siku 14......
Majina idadi ni 14...itakuwa kila siku walikuwa wanaandika jina moya.
yaan utumish wanajua kucheza na hisia za majobless aisee wafungulie ilo bomba la asali kila mtu alambe.Wakuu mm najiuliza kuhusu jambo hili
Hivi kwani hawa ma- MDA's na LGA's na taasisi zingine zinapotangaza kuwa tunahitaji wautumishi wa kada Fulani na UTUMISHI wakasimamia mchakato huwa wanakuwa na uhitaji au wanakuwa wamelewa hawajitambui.
Siyo busara kabisa kwa wanachokifanya kwa jobless.
[emoji38][emoji38]anyway utumishi pdf lijalo jazeni wahandisi wa umeme wakutosha coz kuna suti tulishona kwaajili ya kuchukulia barua dodoma zitaliwa na panya mwishowe...
hivi unawajua utumish unawasikia.unaweza kushangaa kesho mkeka unatoka una watu 7 alafu wapishi watupuKitaalamu Nitamshangaa Leo Atoe Majina 14... Thn Kesho au kesho kutwa liwekwe PDF jengine huo utakuwa ni Utoto..... Yani tuseme PDF kai merge Kajimegea 14 ndio aka post.
Utumishi Kumbe mmewafanyisha Watu interview Mwezi wa 6. Na majina hamkutoa ...Hivi mnajua Nauli Wakuu ilivyo Ngumu?? 😭
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 utabiri wangu wakitoka madereva tutegemee wapishi kuwaona kwa wingi kwenye pdfhivi unawajua utumish unawasikia.unaweza kushangaa kesho mkeka unatoka una watu 7 alafu wapishi watupu
madereva sasa hivi asali naona watakua hadi wameikinai.. 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 utabiri wangu wakitoka madereva tutegemee wapishi kuwaona kwa wingi kwenye pdf
Nilidhan kuna taarifa aisee,unafailLimetolewa na;
KATIBU
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Hamna taarida toyote nimeandika tu kale kamsemo kanako andikwa pale mwisho wa PDF 😂😂Nilidhan kuna taarifa aisee,unafail
Tatizo sanayaani hapa kama husubiri placement wala huna received kupata kazi mwaka ujao uishe labda 2025
hakuna chochote yaaninaona kuna no any advertisement currently pale..
ndio ivo tuombe hayo maneno yasitokee kwenye placement itakua ni janga la kitaifa..hakuna chochote yaani
Oral umefanya lini?utumishi ebu ongezeni kimulimuli kingine bas tabia gan iyooo...!!
-Tofautisha eGA (Mamlaka ya serikali mtandao na Mamlaka ya kuzuia na kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania DCEA(Drugs Control and Enforcement Authority)Walishiwahi kutangaza kupitia utumishi