Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu mm najiuliza kuhusu jambo hili

Hivi kwani hawa ma- MDA's na LGA's na taasisi zingine zinapotangaza kuwa tunahitaji wautumishi wa kada Fulani na UTUMISHI wakasimamia mchakato huwa wanakuwa na uhitaji au wanakuwa wamelewa hawajitambui.
Siyo busara kabisa kwa wanachokifanya kwa jobless.
 
yaan utumish wanajua kucheza na hisia za majobless aisee wafungulie ilo bomba la asali kila mtu alambe.
 
Kitaalamu Nitamshangaa Leo Atoe Majina 14... Thn Kesho au kesho kutwa liwekwe PDF jengine huo utakuwa ni Utoto..... Yani tuseme PDF kai merge Kajimegea 14 ndio aka post.

Utumishi Kumbe mmewafanyisha Watu interview Mwezi wa 6. Na majina hamkutoa ...Hivi mnajua Nauli Wakuu ilivyo Ngumu?? 😭
 
hivi unawajua utumish unawasikia.unaweza kushangaa kesho mkeka unatoka una watu 7 alafu wapishi watupu
 
Limetolewa na;
KATIBU
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
 
Attachments

  • 20232007551600WASAILIWA WAKIPATA MAELEKEZO.png
    20232007551600WASAILIWA WAKIPATA MAELEKEZO.png
    385.8 KB · Views: 6
Walishiwahi kutangaza kupitia utumishi
-Tofautisha eGA (Mamlaka ya serikali mtandao na Mamlaka ya kuzuia na kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania DCEA(Drugs Control and Enforcement Authority)
hizo taasisi zimeanzishwa kwa Sheria tofauti, mfano DCEA imeanzishwa kwa Sheria ya kuzuia na kupambana na Dawa za Kulevya kifungu hiki Cha 3 Cha hiyo Sheria tajwa "There shall be a Drug Control and Enforcement Authority"
 
Back
Top Bottom