El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
mwezi wa 6Oral umefanya lini?
Mdogo angu we bado mtoto mi naomba uingie kwenye system kwanza ujue maisha yanaendaje[emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu ni walimu wa shule ya msingi ila ukiangalia mazaga wanayopiga nje ya ualimu utajiuliza uyu mtu ana fanya nini uku kwenye teaching[emoji28] example mimi kuna mtu namfahamu ana maduka 4 (nnayoyafahamu mimi) Mawili kariakoo moja Dodoma na mwanza na rotation ya bizness zake ni ya kutoka na kuingia yani apo Kuna route za China na kwingineko ila bado still ni mwalimu na si kusema ni wa muda mreeeeeeefu kiiivo kwamba anavuta mrundio mkubwaaaaa kama kile kimlima cha ofisi za PSPR kushoto [emoji28][emoji28]hapana ila anakomaa kuvuta hyo 600-700k (nahisi ) sasa wewe unajiuliza eti fundi kwakua unavuta 200k per one work usiende kutafuta 500k government [emoji28][emoji28][emoji28]acha utoto kuna mifumo huwekwa 200k itaingia na still hii 500k itaingia sema katika format ya (KULA na MWEZIO) hapo ndo utajua mtu ana surviving vipi na hawezi kuiba friji au AC mbinu ni ile ile (KULA NA mwenzio)[emoji28][emoji28][emoji28]kwanza habari ya wizi serikalini ni kosa kijinai na si maadili ya mtumishi bora(hii CODE muibebe kama ilivyo[emoji23])
🤣 🤣 🤣 dahh acha kumkatisha jamaa tamaa mbona naskia mafundi wanalamba sana asali paleMkuu sikukatishi tamaa ila Artisan wa AC pale MNH hamna kitu, salary hata hio 500k haifiki...usiwe na higher expectations ukipata utajuta.
Ndio hivyo.Enforcement
sio lazima upangiwe huko unaweza kupangiwa sehemu nyine tofauti na uko...uwiii nishakufilia mbali nilifanya usaili shirika la elimu kibaha oral interview ...leo waziri katangaza kuwa shirika la elimu kibaha n mojawapo ya mashirika yaliyofutwa daaah....rip to me.
daaahh niko njia panda hatar sanaasio lazima upangiwe huko unaweza kupangiwa sehemu nyine tofauti na uko...
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] dahh acha kumkatisha jamaa tamaa mbona naskia mafundi wanalamba sana asali pale
🤣 🤣 🤣 IT Personel akiiona hii itakua tabu..Mkuu hamna kitu, jina kubwa tu ila hamna kitu pale kwa mafundi....kama fundi namshauri apige zake mtaani ata earn zaidi ya salary ya pale.
Ikiwezekana afute kabla IT Personel hajaona hii ile vita naona inarudi🤣 🤣 🤣 IT Personel akiiona hii itakua tabu..
Hii tishio kwa sisi jobless. Mwaka huu unaisha na majangaMashirika kuunganishwa na mengine kufutwa automatically nafasi za Ajira Mpya zinapungua..Hatari
Hiyo sehemu ni special case, hata mimi niliwahi kujiuliza hilo swali.Hivi jamani hawa DCEA ajira zao zipoje.
Sijaona zikitangazwa si utumishi wala mahala popote.
Hili ni tangazo la eGA sio DCEAWalishiwahi kutangaza kupitia utumishi
50+KAANGALIENI MKEKA MSEME LEO UNA MAJINA MANGAPI NDIO NI DOWNLOAD
35KAANGALIENI MKEKA MSEME LEO UNA MAJINA MANGAPI NDIO NI DOWNLOAD
Jobless for lifesiku hizi shuhuda hakuna kabisa sjui kwann