Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mdogo angu we bado mtoto mi naomba uingie kwenye system kwanza ujue maisha yanaendaje[emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu ni walimu wa shule ya msingi ila ukiangalia mazaga wanayopiga nje ya ualimu utajiuliza uyu mtu ana fanya nini uku kwenye teaching[emoji28] example mimi kuna mtu namfahamu ana maduka 4 (nnayoyafahamu mimi) Mawili kariakoo moja Dodoma na mwanza na rotation ya bizness zake ni ya kutoka na kuingia yani apo Kuna route za China na kwingineko ila bado still ni mwalimu na si kusema ni wa muda mreeeeeeefu kiiivo kwamba anavuta mrundio mkubwaaaaa kama kile kimlima cha ofisi za PSPR kushoto [emoji28][emoji28]hapana ila anakomaa kuvuta hyo 600-700k (nahisi ) sasa wewe unajiuliza eti fundi kwakua unavuta 200k per one work usiende kutafuta 500k government [emoji28][emoji28][emoji28]acha utoto kuna mifumo huwekwa 200k itaingia na still hii 500k itaingia sema katika format ya (KULA na MWEZIO) hapo ndo utajua mtu ana surviving vipi na hawezi kuiba friji au AC mbinu ni ile ile (KULA NA mwenzio)[emoji28][emoji28][emoji28]kwanza habari ya wizi serikalini ni kosa kijinai na si maadili ya mtumishi bora(hii CODE muibebe kama ilivyo[emoji23])

Mkuu sikukatishi tamaa ila Artisan wa AC pale MNH hamna kitu, salary hata hio 500k haifiki...usiwe na higher expectations ukipata utajuta.
 
Back
Top Bottom