El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
serikali kuifuta hawawezi..Yani wanatoa vimajina kwa kujisikia.. watu wamefanya interview Oktoba jamaa wapo kimya ila wa November wanalamba asali.
Hii taasisi ni moja ya majipu kwenye nchi hii, soon serikali itaifuta.
🤣🤣🤣🤣jamaa wanatunyoosha si kitoto sjui tumewakosea nini.kama kuna shida si tukae chini tuyazungumze tuuu eti utumishi...🤣 🤣
Na hili nalo mkalitazame😂😂😂jamaa wanatunyoosha si kitoto sjui tumewakosea nini.kama kuna shida si tukae chini tuyazungumze tuuu eti utumishi...🤣 🤣
🤣 🤣 🤣Jobless bdo hatujasema,yan mpaka tuthemeee
Yani mpaka usemeeee[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
sjui tumekosa nini..Yani mpaka usemeeee
utumish kama mna tatizo na majobless tukae chini tuongee tuyamalize.kwa hichi mnachotufanyia mtakuja kutuua wengine tuna presha..!!
mmmhh IT wamcbhongo alituingiza chaka..Kwan ITpersonel anasema mkeka unatoka lini
yaani kuna mda mtu hadi unaanza kuwaonea wivu wauza matembele.. 🤣 🤣Yani mpaka usemeeee
Kwan ITpersonel anasema mkeka unatoka lini
Mwenzako naye alishakandwa kwa mkeka wa juzi.
Shirik lingine ni Doctors without BordersThps, mdh, amref, save the Children, ICAP na mengine mengi.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Baada ya kufutwa nini kimetokea?uwiii nishakufilia mbali nilifanya usaili shirika la elimu kibaha oral interview ...leo waziri katangaza kuwa shirika la elimu kibaha n mojawapo ya mashirika yaliyofutwa daaah....rip to me.
Baada ya kufutwa nini kimetokea?
Shule itarudi Tamisemi? Vipi kuhusu Scale za watumishi wa pale maana zilikuwa juu
El yan bdo hujasema[emoji23]yaani kuna mda mtu hadi unaanza kuwaonea wivu wauza matembele.. [emoji1787] [emoji1787]