Inasikitisha sana
- shule ya kibaha,Tumbi ,Kibaha girls zitarudishwa Tamisemi
- salary scale zitabaki zile zile,
Daah Mkuu Unasononesha watu aisee... Kuna watu humu wao Mshahara wowote Wapo tayari kuchukua... Yani Mchawi kazi tuHivi Mfuko wa Pembejeo wanatumia Salary scale za Serikali kuu ama wanajitegemea??
Scale zao ni tofauti sana. Kwanza ule mfuko ni kama benki inakopesha wakulima pembejeo. Ile ni asali ya nyuki tena wa Tabora maporini huko. Unakula huku unatoa mabawa, miba, vipande vya masega. Go brother usijiulize mara mbiliHivi Mfuko wa Pembejeo wanatumia Salary scale za Serikali kuu ama wanajitegemea??
Kwa hiyo Sisi wote Ndio Watu wa database , maana majibu yametoka hadi watu wa Tarehe 15/11/2023....Basi Sawa ..... Aiseee Mwaka Mpya Mwengine Kama Jobless [emoji24]
Na hivi wanapoelekea kuunganishwa na Benki ya kilimo ina maana si inakuwa Taasisi moja? Hapa najiuliza Mishahara inaenda kubadilika ama kila mtu atabaki na mshahara wake wa awali kutoka Taasisi yake ya awali?Scale zao ni tofauti sana. Kwanza ule mfuko ni kama benki inakopesha wakulima pembejeo. Ile ni asali ya nyuki tena wa Tabora maporini huko. Unakula huku unatoa mabawa, miba, vipande vya masega. Go brother usijiulize mara mbili
Yes, hii inaenda kuunganishwa na benki ya kilimo kwasababu ilionekana majukumu yao yanalingana. Kwenye salary watumishi waliopo wataendelea na scale zao ila watakaokuja baada ya kuunganishwa watakutana na Harmonized Scheme.Na hivi wanapoelekea kuunganishwa na Benki ya kilimo ina maana si inakuwa Taasisi moja? Hapa najiuliza Mishahara inaenda kubadilika ama kila mtu atabaki na mshahara wake wa awali kutoka Taasisi yake ya awali?
Poleeee sana best wakati wa MUNGU ukifika mambo yataenda sawa na uzuri wa MUNGU WETU ni Mungu wa kufidia ni MUNGU atakaeufidia wakati huu unaolia katika kipindi Utakachopata Mishe
..............Sasa hata likija jamvi la halmashauri hamsononeki tena si ndio?Daah Mkuu Unasononesha watu aisee... Kuna watu humu wao Mshahara wowote Wapo tayari kuchukua... Yani Mchawi kazi tu
Kazi ipo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787] [emoji1787] hao ndo utumishi ukisikia wengine fotokopi
..............Sasa hata likija jamvi la halmashauri hamsononeki tena si ndio?
KaribuMkuu tupo tayari kufanya, kazi hata kwa nusu mshahara, boss π’, Hata halmashauri ya kigoma hatukasiriki
kazi mbaya ukiwa nayo
hao wa tareh 15 wametoa mtu mmoja tu bado majina mengi hayajatokaKwa hiyo Sisi wote Ndio Watu wa database , maana majibu yametoka hadi watu wa Tarehe 15/11/2023....Basi Sawa ..... Aiseee Mwaka Mpya Mwengine Kama Jobless π