Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Bila bila
Screenshot_20231217-162506.jpg

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hivi Mfuko wa Pembejeo wanatumia Salary scale za Serikali kuu ama wanajitegemea??
Scale zao ni tofauti sana. Kwanza ule mfuko ni kama benki inakopesha wakulima pembejeo. Ile ni asali ya nyuki tena wa Tabora maporini huko. Unakula huku unatoa mabawa, miba, vipande vya masega. Go brother usijiulize mara mbili
 
Kwa hiyo Sisi wote Ndio Watu wa database , maana majibu yametoka hadi watu wa Tarehe 15/11/2023....Basi Sawa ..... Aiseee Mwaka Mpya Mwengine Kama Jobless [emoji24]

Poleeee sana best wakati wa MUNGU ukifika mambo yataenda sawa na uzuri wa MUNGU WETU ni Mungu wa kufidia ni MUNGU atakaeufidia wakati huu unaolia katika kipindi Utakachopata Mishe
 
Scale zao ni tofauti sana. Kwanza ule mfuko ni kama benki inakopesha wakulima pembejeo. Ile ni asali ya nyuki tena wa Tabora maporini huko. Unakula huku unatoa mabawa, miba, vipande vya masega. Go brother usijiulize mara mbili
Na hivi wanapoelekea kuunganishwa na Benki ya kilimo ina maana si inakuwa Taasisi moja? Hapa najiuliza Mishahara inaenda kubadilika ama kila mtu atabaki na mshahara wake wa awali kutoka Taasisi yake ya awali?
 
Yes, hii inaenda kuunganishwa na benki ya kilimo kwasababu ilionekana majukumu yao yanalingana. Kwenye salary watumishi waliopo wataendelea na scale zao ila watakaokuja baada ya kuunganishwa watakutana na Harmonized Scheme.
Kama ilivyounganishwa mifuko ya hifadhi PSPF, PPF, GEPF kuunda PSSSF.
 
Sorry, kwa wale walio fanikisha kuomba nafas za wizara ya afya , vp kwenye academic qualifications upande wa bachelor mmejazaje?,
 
Kwa hiyo Sisi wote Ndio Watu wa database , maana majibu yametoka hadi watu wa Tarehe 15/11/2023....Basi Sawa ..... Aiseee Mwaka Mpya Mwengine Kama Jobless 😭
hao wa tareh 15 wametoa mtu mmoja tu bado majina mengi hayajatoka
 
Back
Top Bottom