Veta haijawahi Kuwa shortlisted mkuuuSasa kwenye zigzag ndo Kuna sababu kuwa shortlisted ni sawa na placement
Unaangaliaziaga kwenye browser au app
Hivi Kuna Hadi app ya utumishiKwenye app haibadilikagi kule
ππππBila kupeana moyo mzee tutachanganyikiwa bure na haya mastresswizy na Genuine raf munastahiri tuzo maana sio Kwa kutupa moyo huku
Kwangu inabadilikagaKwenye app haibadilikagi kule
IpoHivi Kuna Hadi app ya utumishi
ππππUshapata kazi sasaKwangu inabadilikaga
Kwenye browser na app mara karibu zote kwenye app ndo baraaa now ya veta ipo selected for PRACTICAL ila kwenye browser ipo oral na hii nyingine kwenye app ipo selected for null ila kwenye browser inasoma shortlisted so utaona hapo ilivyo zigzag kifupi HAZINA MAAANA YEYOTEUnaangaliaziaga kwenye browser au app
Kweli muhimu kupeana mioyoππππBila kupeana moyo mzee tutachanganyikiwa bure na haya mastress
Mkuu mangi sensa imeisha holaaaatulieni vijana tumalizane na sensa.. tutawaiteni tu msiwe na shaka
Huko ndo utakimbia mkuuu inachange nakoKwenye app haibadilikagi kule
Sasa nakuprove wrong kua inabadilikaga except kwako tu π€£ π€£ππππUshapata kazi sasa
,ππππoya kwahiyo nimekandwa au sioSasa nakuprove wrong kua inabadilikaga except kwako tu π€£ π€£
Huko ndo utakimbia mkuuu inachange nako
Unaona @wizy umeshaliwa kichwaπ€π€π€
Umeshaliwa kichwaπ€£,ππππoya kwahiyo nimekandwa au sio
πππππHii suti yangu nitaupeleka wapi sasa usiseme hivyo mzeeUmeshaliwa kichwaπ€£
Wait pdf mwezi ujaoπππππHii suti yangu nitaupeleka wapi sasa usiseme hivyo mzee
Wewe ushapata kazi nakuambia, rudi tu home . Sasa hapo Dom unasubiri nin!Nipo nasubir muafaka wangu either niendelee kupauka Dodoma ama nirudi Dar
Yes pdf ni mwezi ujao uhakikaWait pdf mwezi ujao