Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ka story just for encouragement nothing else,

Miezi 12 iliyopita nilikua huko Geita ndani ndani, ni baada ya kuzunguka sana kwenye maofisi ya hapa mjini daslamu kutafuta sehem ya kujitolea.... nilianzaga na moto sana baada ya kumaliza chuo 2021,si unajua tena ka GPA nako kalinipa kichwa. Nilipigwa ndoige matata sana baada ya kukosa sehemu zote nilizoomba, apo ndo akili ikaanza kunikaa sawa sasa kumb mamb hayako kama navyofikiria. Ilinivunja san moyo na Nikakata tamaa kabisa na degree yangu, ndipo nikaamua kuweka vyeti vyangu chini ya begi na kuingia shamba huko Geita ndani ndani kabisa. Maisha yalinipiga san huko acha kabisa had nafikia kpindi sina ata hela ya kununua zile ndala kam za gest, apo nina marapa yangu yameishia visigino vyote vinakanyaga chini,,,, yan nimepiga sana jembe kweny vishamba vyangu & kuchunga ng'ombe ili nipate hela ya mbegu na mbolea,, kilimo kinahitaji hela nyie acheni kabisa... licha ya juhudi zangu mwisho wa siku kwenye kilimo nikaambulia sufuri yan sikupata ata muhindi wa kuchoma.. kilimo cha kutegemea mvua kiache kama kilivyo.

Kumbuka kipindi icho nahenyeka huko nilikuwa nisha give up na mamb ya ku apply kazi japo nilijitosaga kwenye zile nafas za mwaka jana za tra na mda ila sikuwa na matumain makubwa sana ila nilijaribu tu ili baadae nisije nikajilaumu na mwisho wa siku zote nikakandwa,Na ni ktk wakat huo huo nilianza tembelea huu Uzi,aise huu Uzi ulinipa matumaini sana kupitia shuhuda za humu nikaona kumb inawezekana, basi from there imani yangu yoote nikaiweka utumishi. Hapo sasa nikaamua kurudi mjini daslamu kujiandaa kuingia vitani rasmi sasa maana kule nilikokuwa hakukuwa ata na umeme.

Basi kuanzia mwezi wa 3 mwaka huu nikaanza kula msuli mdogo mddogo japo sikuwa na recieved ila nilijua wataleta tu huko mbele, basi mwez wa 5 mwaka huu mara TANAPA hao na nafasi zao 7 za taaluma yangu, nikasema nakufa nao hawa,, sijakaa vzuri TRA nao hao na nafasi zao 200+ za TMO nikaruka kwa furaha kweli nikajisemea awamu hii lazima mniambie kipi kilianza kati ya kuku au yai lakn kuja kushtuka kumbe tra is no longer under utumishi, nikaamua kupiga chini za tra japo niliomba na nikaitwa ila sikuwahi soma na ata interview yao sikwenda,, niliamua ku focus za zile 7 za TANAPA,, week 1 baada ya written za tra, TANAPA nao wakatuita,, nikaenda kupiga written bana.... jamn eeh ikiwa imefika ni imefika tu,, interview tuliitwa watu 2300+ lakn written tukapiga 900+ Yan ata nusu ya walioitwa hatukufika... Bas oral tukatoboa watu 45 na cutting point ilikuwa ni 84%. So kwenye hao 45 watu 7 wakakacha, bahat iliyoje tena so oral tukapiga watu 38 nafasi nilizopo ni 7 tu, placement zimetoka wamechukua watu 9 badara ya 7.... jamn tips zote zilizonisaidia zooote nimetoa humu....huu Uzi umenitoa matopeni.👇👇👇👇

•jiandae vizuri kabisa na swali la explain about yourself, ukivuruga hili utapanick ivyo utavuruga na mengne.
•ukiachana na maswali ya taaluma yako jiandae na maswali ya
-what are the duties of the post u have applied.
-what are the challenges u are expecting to encounter at your work place(hili niliulizwa)
•nenda kwenye saili ata kama nafasi n chache
•soma sana bila kusahau kusali kwa Mungu wako. Hakikisha unakuwa na imani, Mungu hajibu kile unachoomba bali imani yako juu ya uombacho.

asante sana psrs, asante sana wadau wote wa humu for encouragement na kupeana tips.
 
Unasema tu ngoja upangiwe Mpibwe au Wanging'ombe. Mwaka hutamaliza utaanza kuuliza namna ya kuhama😂😂😂
🤣🤣🤣 ila Wanging'ombe imewakosea nini wenetu si unaona unyama huo sio kama Halmashauri za Kigoma, Wanging'ombe Ofisi zina hadi viyoyozi.

Karibuni Wanging'ombe.

FB_IMG_1703121213700.jpg
FB_IMG_1703121206314.jpg
 
Guys am so excited, natamani kuwaeleza jambo ila kwa furaha niliyonayo Ntaharibu. Nikitulia ntarudi

Ila tu niseme Nimetoboa pdfla leo.
nilipiga oral interview mwezi wa 10/18
TANAPA.
Hongera mkuu.hii ni direct mkuu sio database?Web na app zinasemaje pia?selected for oral ama?
 
Ka story just for encouragement nothing else,

Miezi 12 iliyopita nilikua huko Geita ndani ndani, ni baada ya kuzunguka sana kwenye maofisi ya hapa mjini daslamu kutafuta sehem ya kujitolea.... nilianzaga na moto sana baada ya kumaliza chuo 2021,si unajua tena ka GPA nako kalinipa kichwa. Nilipigwa ndoige matata sana baada ya kukosa sehemu zote nilizoomba, apo ndo akili ikaanza kunikaa sawa sasa kumb mamb hayako kama navyofikiria. Ilinivunja san moyo na Nikakata tamaa kabisa na degree yangu, ndipo nikaamua kuweka vyeti vyangu chini ya begi na kuingia shamba huko Geita ndani ndani kabisa. Maisha yalinipiga san huko acha kabisa had nafikia kpindi sina ata hela ya kununua zile ndala kam za gest, apo nina marapa yangu yameishia visigino vyote vinakanyaga chini,,,, yan nimepiga sana jembe kweny vishamba vyangu & kuchunga ng'ombe ili nipate hela ya mbegu na mbolea,, kilimo kinahitaji hela nyie acheni kabisa... licha ya juhudi zangu mwisho wa siku kwenye kilimo nikaambulia sufuri yan sikupata ata muhindi wa kuchoma.. kilimo cha kutegemea mvua kiache kama kilivyo.

Kumbuka kipindi icho nahenyeka huko nilikuwa nisha give up na mamb ya ku apply kazi japo nilijitosaga kwenye zile nafas za mwaka jana za tra na mda ila sikuwa na matumain makubwa sana ila nilijaribu tu ili baadae nisije nikajilaumu na mwisho wa siku zote nikakandwa,Na ni ktk wakat huo huo nilianza tembelea huu Uzi,aise huu Uzi ulinipa matumaini sana kupitia shuhuda za humu nikaona kumb inawezekana, basi from there imani yangu yoote nikaiweka utumishi. Hapo sasa nikaamua kurudi mjini daslamu kujiandaa kuingia vitani rasmi sasa maana kule nilikokuwa hakukuwa ata na umeme.

Basi kuanzia mwezi wa 3 mwaka huu nikaanza kula msuli mdogo mddogo japo sikuwa na recieved ila nilijua wataleta tu huko mbele, basi mwez wa 5 mwaka huu mara TANAPA hao na nafasi zao 7 za taaluma yangu, nikasema nakufa nao hawa,, sijakaa vzuri TRA nao hao na nafasi zao 200+ za TMO nikaruka kwa furaha kweli nikajisemea awamu hii lazima mniambie kipi kilianza kati ya kuku au yai lakn kuja kushtuka kumbe tra is no longer under utumishi, nikaamua kupiga chini za tra japo niliomba na nikaitwa ila sikuwahi soma na ata interview yao sikwenda,, niliamua ku focus za zile 7 za TANAPA,, week 1 baada ya written za tra, TANAPA nao wakatuita,, nikaenda kupiga written bana.... jamn eeh ikiwa imefika ni imefika tu,, interview tuliitwa watu 2300+ lakn written tukapiga 900+ Yan ata nusu ya walioitwa hatukufika... Bas oral tukatoboa watu 45 na cutting point ilikuwa ni 84%. So kwenye hao 45 watu 7 wakakacha, bahat iliyoje tena so oral tukapiga watu 38 nafasi nilizopo ni 7 tu, placement zimetoka wamechukua watu 9 badara ya 7.... jamn tips zote zilizonisaidia zooote nimetoa humu....huu Uzi umenitoa matopeni.👇👇👇👇

•jiandae vizuri kabisa na swali la explain about yourself, ukivuruga hili utapanick ivyo utavuruga na mengne.
•ukiachana na maswali ya taaluma yako jiandae na maswali ya
-what are the duties of the post u have applied.
-what are the challenges u are expecting to encounter at your work place(hili niliulizwa)
•nenda kwenye saili ata kama nafasi n chache
•soma sana bila kusahau kusali kwa Mungu wako. Hakikisha unakuwa na imani, Mungu hajibu kile unachoomba bali imani yako juu ya uombacho.

asante sana psrs, asante sana wadau wote wa humu for encouragement na kupeana tips.
Kwaiyo mwanetu ni kutoka database au?
 
Basi kuanzia mwezi wa 3 mwaka huu nikaanza kula msuli mdogo mddogo japo sikuwa na recieved ila nilijua wataleta tu huko mbele, basi mwez wa 5 mwaka huu mara TANAPA hao na nafasi zao 7 za taaluma yangu, nikasema nakufa nao hawa,, sijakaa vzuri TRA nao hao na nafasi zao 200+ za TMO nikaruka kwa furaha kweli nikajisemea awamu hii lazima mniambie kipi kilianza kati ya kuku au yai lakn kuja kushtuka kumbe tra is no longer under utumishi, nikaamua kupiga chini za tra japo niliomba na nikaitwa ila sikuwahi soma na ata interview yao sikwenda,, niliamua ku focus za zile 7 za TANAPA,, week 1 baada ya written za tra, TANAPA nao wakatuita,, nikaenda kupiga written bana.... jamn eeh ikiwa imefika ni imefika tu,, interview tuliitwa watu 2300+ lakn written tukapiga 900+ Yan ata nusu ya walioitwa hatukufika... Bas oral tukatoboa watu 45 na cutting point ilikuwa ni 84%. So kwenye hao 45 watu 7 wakakacha, bahat iliyoje tena so oral tukapiga watu 38 nafasi nilizopo ni 7 tu, placement zimetoka wamechukua watu 9 badara ya 7.... jamn tips zote zilizonisaidia zooote nimetoa humu....huu Uzi umenitoa matopeni.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

•jiandae vizuri kabisa na swali la explain about yourself, ukivuruga hili utapanick ivyo utavuruga na mengne.
•ukiachana na maswali ya taaluma yako jiandae na maswali ya
-what are the duties of the post u have applied.
-what are the challenges u are expecting to encounter at your work place(hili niliulizwa)
•nenda kwenye saili ata kama nafasi n chache
•soma sana bila kusahau kusali kwa Mungu wako. Hakikisha unakuwa na imani, Mungu hajibu kile unachoomba bali imani yako juu ya uombacho.

asante sana psrs, asante sana wadau wote wa humu for encouragement na kupeana tips.
Hongera mkuu. Japokuwa mi ni junior kwenye hiki kilinge ila najikuta tu Nina Imani sana na utumishi kupitia shuhuda za wadau.... Na nikiskia mambo ya taasisi kuajiri wenyewe moyo unalipuka Kwa hofu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka story just for encouragement nothing else,

Miezi 12 iliyopita nilikua huko Geita ndani ndani, ni baada ya kuzunguka sana kwenye maofisi ya hapa mjini daslamu kutafuta sehem ya kujitolea.... nilianzaga na moto sana baada ya kumaliza chuo 2021,si unajua tena ka GPA nako kalinipa kichwa. Nilipigwa ndoige matata sana baada ya kukosa sehemu zote nilizoomba, apo ndo akili ikaanza kunikaa sawa sasa kumb mamb hayako kama navyofikiria. Ilinivunja san moyo na Nikakata tamaa kabisa na degree yangu, ndipo nikaamua kuweka vyeti vyangu chini ya begi na kuingia shamba huko Geita ndani ndani kabisa. Maisha yalinipiga san huko acha kabisa had nafikia kpindi sina ata hela ya kununua zile ndala kam za gest, apo nina marapa yangu yameishia visigino vyote vinakanyaga chini,,,, yan nimepiga sana jembe kweny vishamba vyangu & kuchunga ng'ombe ili nipate hela ya mbegu na mbolea,, kilimo kinahitaji hela nyie acheni kabisa... licha ya juhudi zangu mwisho wa siku kwenye kilimo nikaambulia sufuri yan sikupata ata muhindi wa kuchoma.. kilimo cha kutegemea mvua kiache kama kilivyo.

Kumbuka kipindi icho nahenyeka huko nilikuwa nisha give up na mamb ya ku apply kazi japo nilijitosaga kwenye zile nafas za mwaka jana za tra na mda ila sikuwa na matumain makubwa sana ila nilijaribu tu ili baadae nisije nikajilaumu na mwisho wa siku zote nikakandwa,Na ni ktk wakat huo huo nilianza tembelea huu Uzi,aise huu Uzi ulinipa matumaini sana kupitia shuhuda za humu nikaona kumb inawezekana, basi from there imani yangu yoote nikaiweka utumishi. Hapo sasa nikaamua kurudi mjini daslamu kujiandaa kuingia vitani rasmi sasa maana kule nilikokuwa hakukuwa ata na umeme.

Basi kuanzia mwezi wa 3 mwaka huu nikaanza kula msuli mdogo mddogo japo sikuwa na recieved ila nilijua wataleta tu huko mbele, basi mwez wa 5 mwaka huu mara TANAPA hao na nafasi zao 7 za taaluma yangu, nikasema nakufa nao hawa,, sijakaa vzuri TRA nao hao na nafasi zao 200+ za TMO nikaruka kwa furaha kweli nikajisemea awamu hii lazima mniambie kipi kilianza kati ya kuku au yai lakn kuja kushtuka kumbe tra is no longer under utumishi, nikaamua kupiga chini za tra japo niliomba na nikaitwa ila sikuwahi soma na ata interview yao sikwenda,, niliamua ku focus za zile 7 za TANAPA,, week 1 baada ya written za tra, TANAPA nao wakatuita,, nikaenda kupiga written bana.... jamn eeh ikiwa imefika ni imefika tu,, interview tuliitwa watu 2300+ lakn written tukapiga 900+ Yan ata nusu ya walioitwa hatukufika... Bas oral tukatoboa watu 45 na cutting point ilikuwa ni 84%. So kwenye hao 45 watu 7 wakakacha, bahat iliyoje tena so oral tukapiga watu 38 nafasi nilizopo ni 7 tu, placement zimetoka wamechukua watu 9 badara ya 7.... jamn tips zote zilizonisaidia zooote nimetoa humu....huu Uzi umenitoa matopeni.👇👇👇👇

•jiandae vizuri kabisa na swali la explain about yourself, ukivuruga hili utapanick ivyo utavuruga na mengne.
•ukiachana na maswali ya taaluma yako jiandae na maswali ya
-what are the duties of the post u have applied.
-what are the challenges u are expecting to encounter at your work place(hili niliulizwa)
•nenda kwenye saili ata kama nafasi n chache
•soma sana bila kusahau kusali kwa Mungu wako. Hakikisha unakuwa na imani, Mungu hajibu kile unachoomba bali imani yako juu ya uombacho.

asante sana psrs, asante sana wadau wote wa humu for encouragement na kupeana tips.
Congratulation mkuu, hizo ndo shuhuda tunazotaka, Kila siku tunawaambiaga watu wawe na Iman na psrs tunaishia kuonekana mawakala wao.
 
Naombeni msaada, profile yangu ktk application ya ajira portal ipo 0.0%, lakini ktk web ipo sawa (95%) shida ni nini hapo
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-12-21 at 09.08.37.jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-21 at 09.08.37.jpeg
    20.6 KB · Views: 4
Back
Top Bottom