Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Guys am so excited, natamani kuwaeleza jambo ila kwa furaha niliyonayo Ntaharibu. Nikitulia ntarudi

Ila tu niseme Nimetoboa pdfla leo.
nilipiga oral interview mwezi wa 10/18
TANAPA.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.

Ikawe kheri huko uendako, bila shaka upo kwa warina Asali, yaani utairina na kuiogelea kwenye pipa lake
 
Good remarks!

Story kama hizi zinatiaga nguvu sana kwa wapambanaji
 
NDUGU ZANGU MACHOZI YA FURAHA YAMENITIRIRIKA, HATIMAE MUNGU AMESIKIA DUA ZANGU [emoji120][emoji120], WAKUU NIMETOBOA
Hongera sana mkuu..unapokarbia kukata tamaa mung anakujibu..
Kila la kher mkuu..
 
Reactions: jb_
Asanteni sana, Nimeshindwa Kumjibu Mmoja Mmoja .. Nipo njiani kufika Dodoma... Nilikuwa nahofia Nikikosa kesho itabidi nifike tena J.4 au J. 5 cz ya sikuuu lakini nikishatulia nitawapa update Wakuu...

Neno langu, Usije Ukakata tamaa ,cz hujui kesho yako... Nikitulia jamani nitaongea kitu humu.

Muwe na jioni njema...##Utumishi connection hakuna.🙏,
 
Safari njema, tunatarajia update na matumaini kwa sisi jobless tulio bakia
NB: VP status zimebadilika ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…