Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Na furaha aliyonayo sijui kama atakumbuka.

Maana ile kucheki jina unakuta ni lako kiusahihi, kuna kakiwewe fulani hivi kinakujia huku ukigubikwa na kujiamini sana
Yaaani haya mambo ya kwenda masjala ya wazi. Ivi ukienda Kama wikiendi mfano jmosi utawakuta?
 
🤣🤣🤣 Ikiwezekana wafanye mpango na weekend wawepo ofisini sio🤣🤣🤣
Ndiyo Mkuu asa wanasemaga ndani ya siku Saba wakimaanisha siku Saba zipi. Mfano wametoa placement j3 siku Saba zinaishia jpili itakuwaje sasa nikienda j3 nyingine siku ya nane😂😂😂
 
NDUGU ZANGU MACHOZI YA FURAHA YAMENITIRIRIKA, HATIMAE MUNGU AMESIKIA DUA ZANGU [emoji120][emoji120], WAKUU NIMETOBOA

Kitu kikubwa naweza nikatoa ushuhuda hata mahakamani ni kwamba ukiwa mchangiaji kwa kusaidia watu kwa namna yoyote kwenye huu uzi, uwezekano wa Mungu kusikia maombi yako ya placement unaongezeka.


Huu uzi unabaraka ndugu zangu.
 
Wakuu nikitulia nitajibu majibu yote.... But nina uhakika wa Asilimia 75. % account yako isipobadirika lazima urambe asali...tena wanyuki wadogo.

Nitatoa technic pia nilifanyaje nikaweza kutoboa written , practical na oral.... Japo najua oral sikuwa nimejibu kwa ufasaha sana but confidence matter.

Nilifanya interview 2, moja nilifika practical nikatoka kwenye game...hii ndio nikadoboa....

Pia kwenye hizi mishe ,Pia tusisahau kuomba wakuu...mungu yupo , omba na sali kwa imani utapata tu...japo kuwa kuna muda imani inakatika ila kile ni huwa kipimo.

Nikitulia nitajibu comment ya mmoja mmoja na taasisi gani nimepata.. ila sio halmashauri wakuu... Siku ya ku report nitapiga hadi picture ya kazi kwangu.
 
muwe mnatutumia ela ya bando majobless wastaafu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…