Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu Naendelea Vizuri ,Sijawatupa wadau... Nikipata nafasi ya kutulia nitajibu pongezi ya Mtu mmoja mmoja, na kutoa ushauri...

Ila nilifanikiwa kuchukua barua utumishi na nilipeleka kituo cha kazi, Napenda nimshukuru Mungu sana, Pamoja na utumishi wa umma kwa kutoa kazi pila Upendeleo hata kidogo, yani wanafanya haki 100% ...

Nitatoa briefly njia niliyotumia mpka nikafanikiwa kupata kazi, Serikalini...Pia baada ya kufika huku nimeshuhudia zile process wanazojadiri wadau humu almost ndio zile ..zile, yani ukifika automatically unaona process zina flow. Pia kuhusu mshahara wa Taasisi na tamisemi kutofautiana ni kweli. Diploma wa taasisi anamwacha mbali mtu wa Tamisemi au wizara tena HQ. Yani Wewe ukiwa na bachelor ya Account na mwenzako. Wewe upo wizara yeye taasisi anakupiga bonge la Gap.

So wadau nitashare experience ,since nimeona jina mpka kufika kituo cha kazi.🙏
 
Tupia picha ya jengo la masjala ya wazi Mkuu
 
Tupia picha ya jengo la masjala ya wazi Mkuu
Sheria za Utumishi naogopa boss Wangu, But masijara ya wazi ipo Majengo ya Asha rose migiro kule juu,
Yani ndio majengo ya mwisho ukitoka hapo mbele unaona, Nyumba tu zina bati bati za rangi zinazofanana...


Ukifika unakutana na kibanda cha mlinzi..
unatembea hatua kama 5 kama unaelekea kwenye office ya utawala, unakula kulia ni kichumba tu ,kina dirisha ., Ukitaka kuchukua barua unapanda kingazi kama zipo pando 2 3. Pembeni yake kuna ubao wa matangazo...
 
Wakuu Utumishi wanatenda haki, tena haki Ipo ...na haki yako haipotei ukiona Utumishi umeenda Kufanya Interview Kama umepata 49... Boss hiyo ni kweli yani hata warudie kusahihisha ...Wale jamaa nahisi wanatumia Computer
 
Jamaa wako fair kabisa tena kabisa... Msichoke kama umefauru lazima upate kazi, Na wao hawahusiki kwenye kuchelewesha placement... Hata kidogo... Taasisi Ndio zinawakwamisha Utumishi.

Aisee kama mtu hujapata kazi, Thn Taasisi Zikawa zinaajiri Wenyewe Sheikh Kazi utakuwa nayo... Saliiii sanaaa utumishi wadumu.
 
Asante kwa taarifa ya ufafanuzi juu ya masjala ya wazi
 
Mmh swali la status ulifanikiwa kuwauliza hao ma IT?
 
Yaan hayo mataasisi hata yakichelewa sawa maana asali zao ni nzito. Ila huko halmashauri wawe tu wanawahisha maana asali yao ni ya Mbu tu
 
Wakuu Utumishi wanatenda haki, tena haki Ipo ...na haki yako haipotei ukiona Utumishi umeenda Kufanya Interview Kama umepata 49... Boss hiyo ni kweli yani hata warudie kusahihisha ...Wale jamaa nahisi wanatumia Computer
Wakala, naona umeanza majukumu yako vyema kwa kasi ya ajabu ndugu wakala.
 
Mmh swali la status ulifanikiwa kuwauliza hao ma IT?
Barua Unafata Masijara, IT ni Jengo la Utawala ... Pale pembeni .But ili uende utawala unatakiwa umwambie mlinzi unaenda kitengo gani na unashida gani, na lazima uandike kwenye daftari na number ya simu.... Sasa yanini wakati barua ninayo ...🤣
 
Nilifanya Mwezi wa 4. na wenzangu wote waliitwa nikawa bado mimi na jamaa mmoja, Mimi mkeka umetoka mimi na huyo jamaa wote tumo.

Kada ICT SECURITY.
Hongera, nipe na mimi mbinu sasa ya kutoboa maana nimesha kandwa interview mbili utumishi ya kwanza sikufika 50% ya pili nimepata 64% ila wakachukua kuanzia 75 nafasi ilikua moja, je nifanye nini na mimi niweze kutoboa maana kiukweli umri unaenda nafasi zenyewe chache na zinatoka kwa mbinde.

Pia kwa sasa sina received hata moja, nitumie njia au mbinu zipi niweze kufika oral japo mara mbili zote sifanikiwi, au ndio yale kama baadhi ya wadau wanasema unapoitwa interview make sure huagi mtu yeyote yule pengine awe wa karibu sana maana binadamu tuna mengi....
 
Ili ufanikiwe unatakiwa Ujijue upo bora kwenye Kada ipi, Cz kuna watu yeye database yupo, Admin yupo, Networking yupo, Security twende, System analyst tuondoke...

Hapo hutoboi hata labda kwa miujiza... Jichagulie kada zako mbili au tatu... Yani wewe zikitokea nyengine huendi unaenda hizo tuuu... Yani ukiwa unapiga kila inayokuja mbele yako kutoboa kazi maana Unakuwa huna Taarifa sahihi za zile interview unaenda....

But mfano; umechagua zako Networking, Database ,Labda na Admin... So wewe unasoma hizo tuu na ku practice basi haichukui muda kufika Oral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…