Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

We Fala jifunze kuandika kwanza .
 
Relax mkuu hakuna haja ya matusi
Mkuu ukiwa Jobless mtu anakuwa na Hasira sana 🤣🤣, Hata mwenyewe akiambiwa katukana kisa nini hajui, Bro stress za kuwa jobless mtu akishindwa kuzi control anakuwa kama kawehuka flani hivi... Maana ukimtukana mtu ambaye humjui ni sawa amejitukana mwenyewe ...
 
Jobless for life...sisi wengn ni majobless konki..tushazoea ukipata unashkr ukikosa unashkr cku znaenda..
 
Hujaelewa nilichoandika kwenye hoja ya kuwa politically motivated,
Halafu unasema una 4.1gpa
-magufuri instead of magufuli
 
Kakwambia ukweli l na r zitakuletea shida, ukiambiwa uandike ripoti halafu uoneshe kuwa na tatizo la r na l utaonekana kituko ofisini
Boss wangu ,kuna kuandika kiswahili kweli?? thn wala hazinipi shida ila siwezi kuwa carefully to that extent kwenye sehemu ambayo haihitaji hicho kitu... Yani nianze kucheck spelling error humu, wakati naandika sifaidiki chochote just for fun..tu.

Hebu angalia maandiko yangu ya nyuma kipindi nipo jobless kama niliwahi changanya spelling ...Boss kuna ka hali fulani ukiwa una uhakika unakuwa dont care
 
Na kaja na ID mpya, unaweza kukuta kwenye ID ya zamani alikuwa anatukana Utumishi
🤣🤣 Sijawahi tukana utumishi zaidi ya kusema kwann wanachelewesha Placement ...aloooo nyie kumbe walikuwa wamenipeleka kwenye shimo la asali lenyewe 🤣 yani kule wanapotagia kabisa
 
Ila twendeni mbele turudi nyuma, Wakuu Taasisi zikiajiri wenyewe ,Nyie ambao mnasema watoto wa wakulima Mtakufa Vibaya sana... Nafikiri TRA na NSSF wamewafundisha adabu.
 
Mkuu mimi nilipauka sana, alafu nilipoteza kujiamini kabisa...ikafika kipindi najitenga na watu, yani nilikuwa kwenye hali flani hivi ya msongo...yani umemaliza chuo thn bi mkubwa anategemea kidogo wewe umsaidie ila msaada kwake huna . ile hali ilikuwa inaniumiza sana ..yani kukosa mimi nilikuwa siumii ila kushindwa msaidia bi mkubwa wakati amenisomesha kwa kuunga...

Alafu wanao uliosoma nao almost wote wanatoboa , wanakazi wanaendesha ndiga, status wanapost wapo labda semina au kwenye events zao za kikazi nyieeee ,

Daahh hii kazi nitaiheshimu sana ,nahisi naweza kuwa nalala ofisini. 🤣

Ila nawaombea wote muondoke na hiyo hali, yani kila mtu apate kazi
 
Mkuu weka akiba ya maneno, shukuru umepata kazi, maisha ya kusubiri kipato kila baada ya siku 28 sio mepesi kihivyo. Muhim usiweke matarajio makubwa hivo na kukamia kwa level hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…