El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kada gani iyoIla utumishi kwenye Web na App ni both selected for oral, ila sasa sijawah kuona mkeka wenye kada yangu dah.
Shusheni pdf tuingie mwaka mpya vizuri.
Wanazingua Bora wakatoa hata jina moja tu mtu ukawana matumain kidogoNgoja tusubiri Mkuu
Mpibwe Katavi 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23]mbona kigoma jmn!
😀😀Nanyumbu......Mpibwe Katavi 😅😅
Wanawaonea jobless......Wanasema above 25 hamuwezi kukimbizana na wajangili
Sisi tuliitwa written 594 nafasi 1sisi tuliitwa interview 230 nafasi 2
🤣 🤣 ndio kawaida yao iyo naona watu wanashangaaSisi tuliitwa written 594 nafasi 1
Matakoni mwa nchi yaan 😂😂😂😀😀Nanyumbu......
Bora huko kuna sehemu inaitwa Momba[emoji23][emoji23]pasikie Tu!Mpibwe Katavi [emoji28][emoji28]
Nchi ngumu sana hii, hapo ni kulia na Mungu tuu upate hata private maana hii life ni ngumu mbaya....[emoji1787] [emoji1787] ndio kawaida yao iyo naona watu wanashangaa
Nina rafiki alipangiwa hko sahv anataka kuhama [emoji38]Bora huko kuna sehemu inaitwa Momba[emoji23][emoji23]pasikie Tu!
Hao wanakuwa maafisa maendeleo jamii ndio wanaokopesha ile mikopo ya 10% vijana, wanawake na wazeeutendaji wa kata sio rahisi.
me naona kama nafasi za makatibu tarafa.
Naona kama IT na yeye anahusika kwa ucheleweshaji wa placement
sjui hivyo vikao hua wanaajadili nini ukiwacheki pale web unaweza ukazani watu wamaana na vipara vyao kama ugaliutumishi ni mak***
Kumbe MD Yuko juu kwa vet
Duuuh! inaogopesha,lakini hakuna jinsi.kwa mshahara huo ukianza kaz na ndan ya mwaka mmoja ukioa.. umaskin utakuganda kwa muda mrefu
jkt ni lazimaNaomba kuuliza.hizi nafasi za uhamiaji ni lazima uwe umepitia jkt? Au fair inakuwepo kwa wasio pitia?
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app