Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na wewe jitahidi kufanya namna uweze kujaribu ajira portal mkuu
Napambana sanaaa
Cheki hii πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ siku seriuos


Ila ni za muda mrefu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Ila kwasasa Niko serious, japo na apply zile za U-director na managers..!!!

Ya mwisho nilituma 27/01/2022 ya u-seriuos NIMETUMA 18/10/2023
Kwahiyo nilikaa mwaka na kitu bila kutuma chochoteee.

Nishafanya certifications Zotee na attachment zotee nimeweka.

Niko serious balaaa.

#YNWA
 
Kwa ufupi ulikuwa huna uhitaji tu Mkuu wa ajira.
 
Kwa ufupi ulikuwa huna uhitaji tu Mkuu wa ajira.
Kama Kuna ukweli
Maana nilituma ombi 02/11/2021 nikaja kutuma tena 27/01/2022 nikalala nikaamka 18/10/2023

Ila hii ya 2023 nilikua serious na Kuna dogo anajitolea ofisini kwetu ndio alisimamia show nzima ya certification mahakamani na kila kitu.

Sasa hivi nimempa Kazi, akiona tu shavu linanihusu anitonyeee..!!!

#YNWA
 
Mungu akakuongoze Mkuu lengo lako litimie
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukiwa serious lazima upige hatua na mwishowe upate unachokihitaji.

Huo moto usiuupunguze, uwashe hivyo hivyo..
 
Kaka endelea kidogo haswa kuhusu maslahi na status
Iko hivi,
Kuna watendaji wa
Vijiji na watendaji wa kata.
Kata ni muunganiko wa vijiji kadhaa na
Tarafa ni muunganiko wa kata kadhaa
Hivyo, utakuwa Boss wa watendaji wa Kata zilizopo chini ya tarafa yako
Utashirikiana kwa ukaribu Sana na ofisi ya DC/DAS Kama uko halmashauri.
 
Uko sahihi.
Atawapokea sana WA-NEC (Jokes) japo ni uhalisia.
Kimsingi hii position imekaaga kichama chama.
 
Mi akili yangu huwa inawaza BOT na Wizara ya Fedha tuuuu.

Sijui kwanini huwa nawaza huku tuuu.

#YNWA
BOT itoe hapo huwezi kuingia pale kwa usaili. Mimi kuna jamaa namfahamu Division 1.8 O-level Kibaha. Division 1.3 EGM Pugu boys. UDSM B.Com Account GPA 4.2. CPA T.
Alipomaliza CPA kaanza kazi Auditing Firm. Alifanya interview hapo BOT 2015/2016 hadi wakabaki wawili oral. Baada ya hapo kimya hadi kesho. Tena anakwambia aliwakanda majaji wanatikisa kichwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…