Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi kuita watu kutoka kanzi data kwenye kada ambayo watu wamefanya interview juzi inaleta ukakasi ie committee clerk ii
Mkuu pls naomba usiseme hvyo aisee, acha watu wa database wapate haijalishi kazi ilitangazwa lini, kitaa hali mbaya sana..,unless kama kuna kitu nyuma ya pazia.
 
Nimejaribu kuuliza tu maana December tumepiga oral, Leo naona watu wanaitwa kazini kupitia kanzi data kwa kazi ile ile!!!
G hi so9ii it no ski yaMkuu pls naomba usiseme hvyo aisee, acha watu wa database wapate haijalishi kazi ilitangazwa lini, kitaa hali mbaya sana..,unless kama kuna kitu nyuma ya p
 
Na wewe jitahidi kufanya namna uweze kujaribu ajira portal mkuu
Aibu sana kupambana na vijana wakati umri umesogea. Uko 38-42 unaenda kwenye interview na vitoto vya 24-27. Siku niko pale CIVE nasubiri kuingia nikakandwe nikasema ngoja nitafute kibinti kimoja ili nikitoka kukandwa na mimi nikakikande. Ile kukisogelea tu nasikia "Shikamoo"
Mood yote ikakata palepale
 
😂😂😂🙌🙌🤣🤣🤣
 
kibinti kilikukanda kabla ya kukandwa 😂 😂
 
Back
Top Bottom