Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wazee kwema humu,
Naombeni msaada mwnye notice za credit officer na compliance officer anisaidie wazee nna shida nazo....asante
 
Wakuu Poleni na majukumu.

Naombeni nisaidieni juu ya changamoto hii.
1. Ninautofauti wa majina ya wazazi wangu kati ya cheti cha kuzaliwa na Taarifa za NIDA.

Mfano,
kwenye cheti cha kuzaliwa jina la Baba ni : JOHN JUMA YUSUF

Ila taarifa za NIDA jina limeandikwa ni : JOHN JUMA YUSUFU.

Na kwa upande wa Mama cheti cha kuzaliwa jina liliandikwa: MELINAS YAKOBO SENI.

Ila taarifa za NIDA jina limeandikwa ni : MERINAS SEN YAKOBO.

NOTE: ingawaje mimi majina yangu hayana shida yoyote yote yapo sawa .

2. Changamoto moto nyingne ipo kwenye sehemu ya kuzaliwa.
Mfano,
Cheti cha kuzaliwa kinasoma mahali pakuzaliwa ni Mkoa wa MWANZA, Wilaya ya MISUNGWI.

Na Taarifa za NIDA zinasomeka mahali pakuzaliwa ni Mkoa wa MWANZA, Wilaya ya NYAMAGANA.

**Sasa nauliza hizo taarifa za wazazi NA hizo za mahali pakuzaliwa haziwezi niletea shida au kuwa na changamoto wakati wa kujaza taarifa zangu kwa Mwajiri??
Na nifanyeje juu ya hilo??

Naombeni msaada wa mawazo wakuu.
Naomba kuwasilisha.
Cheti cha kuzaliwa unaweza pata kingine na kukidizaini utakavyo kwa urahisi kuliko NIDA.

So fanya mpango wa kutafuta kingine na taarfa zifanane na hyo ya NIDA.
 
Cheti cha kuzaliwa unaweza pata kingine na kukidizaini utakavyo kwa urahisi kuliko NIDA.

So fanya mpango wa kutafuta kingine na taarfa zifanane na hyo ya NIDA.
Asanteh Mkuu,
Sema tayari kuna baadhi ya taarifa nimesha submit kwa Mwajiri.

Sasa sijajua kama nikifanya mchakato wa kubadr cheti cha kuzaliwa haiwezi leta shida?
 
Asanteh Mkuu,
Sema tayari kuna baadhi ya taarifa nimesha submit kwa Mwajiri.

Sasa sijajua kama nikifanya mchakato wa kubadr cheti cha kuzaliwa haiwezi leta shida?
Kama kutakuwa na shida watakwambia
Ila maadam majina yako yapo sawa sidhsn kama atakusumbua sema jiandae incase ukaambiwa kuna makosa ya herufi za majina ufanye kutafuta cha kuzaliwa kngne
 
Kukosa washauri, ujuaji mwingi na kuangalia boom kuna wapotozea watu wengi malengo na kujikuta wanahangaika badae. Mfano kuna dogo kapata DIV 1 ya 6 PCM kaacha kusoma course za engineering kakimbilia ualimu wa physics na math kisa kapata Samia scholarship na chuo kachaguliwa UD.
Atakuja humu JF siku moja kuomba ushauri, hata usijari kabsa 😀😀
 
Asanteh Mkuu,
Sema tayari kuna baadhi ya taarifa nimesha submit kwa Mwajiri.

Sasa sijajua kama nikifanya mchakato wa kubadr cheti cha kuzaliwa haiwezi leta shida?
Deed Poll, tafuta mwanasheria akuandalie deed poll umalize kazi.
 
Asanteh Mkuu,
Sema tayari kuna baadhi ya taarifa nimesha submit kwa Mwajiri.

Sasa sijajua kama nikifanya mchakato wa kubadr cheti cha kuzaliwa haiwezi leta shida?
Kama Iko Iko .......wife alipata kazi serikalini majina yalikuwa na tofaut kati cheti Cha shule na kuzaliwa Alikuwa na kiapo majina yalipo toka likatoka jina Liko kwenye nida
 
Deed Poll, tafuta mwanasheria akuandalie deed poll umalize kazi.
Nilijaribu hii, sema kuna wakili alinambia hii deep poll hua anaitengeneza mhusika,

Yaani kwa hii case yako inakuwa ngumu kwani wewe majina yako yako sawa ila majina ya wazazi , So! Huwez kuwatia hvyo deed poll labda mpk mhusika wa hilo jina yaan mzazi wako mwenyewe
 
Vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wako ndio hivyo hivyo vipo NIDA!? Kama Jibu ni Ndio

Kalipie elfu 20 NİDA na kuna fomu utazaja watabadilisha kwenye mfumo

ID yako utabaki nayo na Namba ile ile
Maybe hii ngoja ntaifanyia kazi,
ila ngoja nitaonana na Mwajiri ntasubmit taarifa jinsi zilivyo alafu nimsikilize ataamuaje yeye.
 
Sema kuna mdau nae alijaribu hh akanambya toka ajaze taarifa zake za marekebisho ni miezi sasa inakata ikiwa kimya kimya
 
Back
Top Bottom