ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Za Assistant Lecturers wengine hatuna Master's degree. Na ziko RE-ADVERTISED balaa.KIMBIENI MKAONGEZE 'RECEIVED'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za Assistant Lecturers wengine hatuna Master's degree. Na ziko RE-ADVERTISED balaa.KIMBIENI MKAONGEZE 'RECEIVED'
itabidi wawe wanatuma nauliZa Assistant Lecturers wengine hatuna Master's degree. Na ziko RE-ADVERTISED balaa.
miezi 8 Duuuutumishi hawana utu yaani toka mwezi wa sita watu hatujui tumefaulu au tulifeli..
Msaada wa haraka jaribu kuzidownload tu Mkuu.Wazee kwema humu,
Naombeni msaada mwnye notice za credit officer na compliance officer anisaidie wazee nna shida nazo....asante
Cheti cha kuzaliwa unaweza pata kingine na kukidizaini utakavyo kwa urahisi kuliko NIDA.Wakuu Poleni na majukumu.
Naombeni nisaidieni juu ya changamoto hii.
1. Ninautofauti wa majina ya wazazi wangu kati ya cheti cha kuzaliwa na Taarifa za NIDA.
Mfano,
kwenye cheti cha kuzaliwa jina la Baba ni : JOHN JUMA YUSUF
Ila taarifa za NIDA jina limeandikwa ni : JOHN JUMA YUSUFU.
Na kwa upande wa Mama cheti cha kuzaliwa jina liliandikwa: MELINAS YAKOBO SENI.
Ila taarifa za NIDA jina limeandikwa ni : MERINAS SEN YAKOBO.
NOTE: ingawaje mimi majina yangu hayana shida yoyote yote yapo sawa .
2. Changamoto moto nyingne ipo kwenye sehemu ya kuzaliwa.
Mfano,
Cheti cha kuzaliwa kinasoma mahali pakuzaliwa ni Mkoa wa MWANZA, Wilaya ya MISUNGWI.
Na Taarifa za NIDA zinasomeka mahali pakuzaliwa ni Mkoa wa MWANZA, Wilaya ya NYAMAGANA.
**Sasa nauliza hizo taarifa za wazazi NA hizo za mahali pakuzaliwa haziwezi niletea shida au kuwa na changamoto wakati wa kujaza taarifa zangu kwa Mwajiri??
Na nifanyeje juu ya hilo??
Naombeni msaada wa mawazo wakuu.
Naomba kuwasilisha.
hatari aisee hata kama ni uvumilivu mtu unasandamiezi 8 Duuu
hatari yaani mtu unafanya mtihani halafu majibu hupewi watakua wachawi hawa sio bureUtumishi jipu katika nchi hii
Asanteh Mkuu,Cheti cha kuzaliwa unaweza pata kingine na kukidizaini utakavyo kwa urahisi kuliko NIDA.
So fanya mpango wa kutafuta kingine na taarfa zifanane na hyo ya NIDA.
Kama kutakuwa na shida watakwambiaAsanteh Mkuu,
Sema tayari kuna baadhi ya taarifa nimesha submit kwa Mwajiri.
Sasa sijajua kama nikifanya mchakato wa kubadr cheti cha kuzaliwa haiwezi leta shida?
Atakuja humu JF siku moja kuomba ushauri, hata usijari kabsa 😀😀Kukosa washauri, ujuaji mwingi na kuangalia boom kuna wapotozea watu wengi malengo na kujikuta wanahangaika badae. Mfano kuna dogo kapata DIV 1 ya 6 PCM kaacha kusoma course za engineering kakimbilia ualimu wa physics na math kisa kapata Samia scholarship na chuo kachaguliwa UD.
Sawa Mkuu,Kama kutakuwa na shida watakwambia
Ila maadam majina yako yapo sawa sidhsn kama atakusumbua sema jiandae incase ukaambiwa kuna makosa ya herufi za majina ufanye kutafuta cha kuzaliwa kngne
Sawa Mkuu,
Ngoja ntawasikiliza.
Deed Poll, tafuta mwanasheria akuandalie deed poll umalize kazi.Asanteh Mkuu,
Sema tayari kuna baadhi ya taarifa nimesha submit kwa Mwajiri.
Sasa sijajua kama nikifanya mchakato wa kubadr cheti cha kuzaliwa haiwezi leta shida?
Kama Iko Iko .......wife alipata kazi serikalini majina yalikuwa na tofaut kati cheti Cha shule na kuzaliwa Alikuwa na kiapo majina yalipo toka likatoka jina Liko kwenye nidaAsanteh Mkuu,
Sema tayari kuna baadhi ya taarifa nimesha submit kwa Mwajiri.
Sasa sijajua kama nikifanya mchakato wa kubadr cheti cha kuzaliwa haiwezi leta shida?
Nilijaribu hii, sema kuna wakili alinambia hii deep poll hua anaitengeneza mhusika,Deed Poll, tafuta mwanasheria akuandalie deed poll umalize kazi.
Maybe hii ngoja ntaifanyia kazi,Vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wako ndio hivyo hivyo vipo NIDA!? Kama Jibu ni Ndio
Kalipie elfu 20 NİDA na kuna fomu utazaja watabadilisha kwenye mfumo
ID yako utabaki nayo na Namba ile ile