Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nimesoma comments kadhaa za mwanzo na mwisho wa huu uzi.

Nimefanikiwa kuomba ajira fulani ambazo deadline ni wiki hii ya kwanza Januari.

Hii ni mara ya pili kuomba ajira kupitia utumishi, mara ya kwanza ilikuwa 2021 lkn nikaangukia kisogo 😎

Naimani nitaitwa kwenye interview na hatimaye ajira kamili 🙏
 
Usome na urekebishe makosa yaliyokufsnya uangukie kisogo bila shaka umeyatambua…….
Jipange iwe interview yako ya mwisho
 
Nimesoma comments kadhaa za mwanzo na mwisho wa huu uzi.

Nimefanikiwa kuomba ajira fulani ambazo deadline ni wiki hii ya kwanza Januari.

Hii ni mara ya pili kuomba ajira kupitia utumishi, mara ya kwanza ilikuwa 2021 lkn nikaangukia kisogo 😎

Naimani nitaitwa kwenye interview na hatimaye ajira kamili 🙏
jipange sana maana tangia 2021 mpaka leo mambo mengi yamebadilika
 
Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:-
1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye nida majina ni PELIUS MUKIZA KALENGELEZI ambalo hilo la tatu ni la babu yangu JE? hapo nikienda na avidavit ya kukubali hayo majina yote hawazingui?

2. Na kwenye nida wanahitaji kitambulisho? Au namba tu maana mm ninayo namba na kama wanahitaji kitambulisho nafanyaje hapo?

3.Na kwenye usaili wanaangalia muonekano?(mavazi, nywele n.k)

4. Na ni vitu gani vya kuzingatia ukiingia kwenye chumba cha usaili wa kufanya mtihani (yaani umepewa karatasi nini unaanza kuandika juu kati ya majina na namba yako ya usaili)
5. Kwa walio wazoefu kwenye msaidizi wa hesabu II naomba kujua maswali yanakuaje

NB. Nimeuliza maswali mengi kwa sababu sijawahi fanya interview yoyote na ndo mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal, na nimeuliza haya maswali ili ikitokea nmeitwa kwenye usaili nijue naenda na nini ili nisije saga nauli bure na nisipo itwa nasubilia nafasi nyingine huko mbele TAFADHARI ndugu zangu naomba msaada wenu kama hamtojali kwa sababu naamini kuna wazoefu humu 🙏🙏 naomba kuwasilisha
 
Kuhusu NIDA wanataka kitambulisho kabisa na sio namba ila cha kufanya wewe nenda na barua ya utambilisho ya Serikali ya mtaa wanakubali
Kuhusu majina hapo ni bora uwe na half davit kweli inayoelezea majina yote ni yako na wewe utambulike kwa Jina hilo la utambilisho kutoka serikali za mtaa mengine watakujuza wajuzi humu
 
Mambo vipi wakuu. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nilipotea kidogo kutokana na sababu mbalimbali lakin naamini gurudumu linasonga kama kawa. Na vijana wanaendelea kulamba Asali ya taifa lao.
Tupo pamoja sana mpaka kieleweke.💥💥💥 💥💥
IT ALIKUWA MTU WETU SANA VIPI KWA SASA AU AMEBADILIKA TUMFUTE ?.
 
Kuhusu NIDA wanataka kitambulisho kabisa na sio namba ila cha kufanya wewe nenda na barua ya utambilisho ya Serikali ya mtaa wanakubali
Kuhusu majina hapo ni bora uwe na half davit kweli inayoelezea majina yote ni yako na wewe utambulike kwa Jina hilo la utambilisho kutoka serikali za mtaa mengine watakujuza wajuzi humu
Asante sana kiongozi🙏
 
Mambo vipi wakuu. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nilipotea kidogo kutokana na sababu mbalimbali lakin naamini gurudumu linasonga kama kawa. Na vijana wanaendelea kulamba Asali ya taifa lao.
Tupo pamoja sana mpaka kieleweke.[emoji95][emoji95][emoji95] [emoji95][emoji95]
IT ALIKUWA MTU WETU SANA VIPI KWA SASA AU AMEBADILIKA TUMFUTE ?.
Naona Asali imekupoteza kijiweni[emoji2][emoji2][emoji2]

Hamasa yako kwa wengine ni muhimu
 
Naomba kuuliza kwa yeyote anaejua.
Kama umeajiriwa kama engineer (bachelor degree) kwa scale ya PGSS 7.1 ambayo ni Tshs 1,375,000/=
  • Mfano ukiwa na masters, ukaipeleka kwa HR, mshahara utaongezeka sh ngap?
  • Kwa wale wa ERB, ukipewa status ya professional engineer, PEng (T).. mshahara unaongezeka sh ngap pia?
Naomba msaada wenu kwenye hili swali
 
Wewe mtoto mshamba sana we umereport juzi mimi tayari nipo kwenye system, nikusaidie kitu ukiona wewe umepata ujue kuna akina sie tumepata zaidi yaani tupo pazuri haswaaa, tunakushangaa unashindwa kutulia umewehuka kisa tu million [emoji38].
Huyu hajaajiriwa wala nini
 
Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:-
1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye nida majina ni PELIUS MUKIZA KALENGELEZI ambalo hilo la tatu ni la babu yangu JE? hapo nikienda na avidavit ya kukubali hayo majina yote hawazingui?

2. Na kwenye nida wanahitaji kitambulisho? Au namba tu maana mm ninayo namba na kama wanahitaji kitambulisho nafanyaje hapo?

3.Na kwenye usaili wanaangalia muonekano?(mavazi, nywele n.k)

4. Na ni vitu gani vya kuzingatia ukiingia kwenye chumba cha usaili wa kufanya mtihani (yaani umepewa karatasi nini unaanza kuandika juu kati ya majina na namba yako ya usaili)
5. Kwa walio wazoefu kwenye msaidizi wa hesabu II naomba kujua maswali yanakuaje

NB. Nimeuliza maswali mengi kwa sababu sijawahi fanya interview yoyote na ndo mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal, na nimeuliza haya maswali ili ikitokea nmeitwa kwenye usaili nijue naenda na nini ili nisije saga nauli bure na nisipo itwa nasubilia nafasi nyingine huko mbele TAFADHARI ndugu zangu naomba msaada wenu kama hamtojali kwa sababu naamini kuna wazoefu humu 🙏🙏 naomba kuwasilisha
IMG_20240104_163125.jpg
 
Back
Top Bottom