Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Chukua maua yako kwa hiki cha kupozea jioni ya leoJobless msikate tamaa..Leo jion nlkuwa na IT kasema week hii mtafurahi maan Kuna PDF za placement nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua maua yako kwa hiki cha kupozea jioni ya leoJobless msikate tamaa..Leo jion nlkuwa na IT kasema week hii mtafurahi maan Kuna PDF za placement nyingi.
Sawa mkuu, ni jambo jemaTupo kaka Bado tunatembelea Uzi huu pia
Hongera sana kwao dah Mungu ni mwema mkuu, naamini kwa asilimia 100% wote walioudhuria oral interview lazima waingie asalini ni suala la Muda Tu mkuu, kwa huu ushuhuda time will tell.Oral yangu tulikuwa 5, kupambania nafasi 1.
Kabla Placement haijatoka, mmoja alipata nafasi kwenye Oral yake ya mwanzo(hii interview mimi niliishia written), tukawa tumebaki 4.
Placement yetu ilipotoka, wakabaki 3.
Baada ya miezi 10 tangu placement yetu itoke, akachomoka mmoja kutoka database, wakabaki 2.
Na leo hii hao 2 wamechomoka. Idadi imekamililka.
NB: Usiache kwenda kufanya usaili hata kama nafasi mnayopambania 1.
Hongereni wote mlioingia kundini leo, Mungu awatangulie mkawe watumishi wema huko muendako!
Mkuu..Chukua maua yako kwa hiki cha kupozea jioni ya leo
Kukata tamaa ni mwiko..Oral yangu tulikuwa 5, kupambania nafasi 1.
Kabla Placement haijatoka, mmoja alipata nafasi kwenye Oral yake ya mwanzo(hii interview mimi niliishia written), tukawa tumebaki 4.
Placement yetu ilipotoka, wakabaki 3.
Baada ya miezi 10 tangu placement yetu itoke, akachomoka mmoja kutoka database, wakabaki 2.
Na leo hii hao 2 wamechomoka. Idadi imekamililka.
NB: Usiache kwenda kufanya usaili hata kama nafasi mnayopambania 1.
Hongereni wote mlioingia kundini leo, Mungu awatangulie mkawe watumishi wema huko muendako!
Wamekaa database zaidi ya mwaka?Oral yangu tulikuwa 5, kupambania nafasi 1.
Kabla Placement haijatoka, mmoja alipata nafasi kwenye Oral yake ya mwanzo(hii interview mimi niliishia written), tukawa tumebaki 4.
Placement yetu ilipotoka, wakabaki 3.
Baada ya miezi 10 tangu placement yetu itoke, akachomoka mmoja kutoka database, wakabaki 2.
Na leo hii hao 2 wamechomoka. Idadi imekamililka.
NB: Usiache kwenda kufanya usaili hata kama nafasi mnayopambania 1.
Hongereni wote mlioingia kundini leo, Mungu awatangulie mkawe watumishi wema huko muendako!
Ukikata tamaa tu unakuwa umeumaliza mwendo.Kukata tamaa ni mwiko..
Possibly..maan PDF ya leo nmeona waliofanya interview kati ya 10/09/2022 na 15/11/2023Wamekaa database zaidi ya mwaka?
Kabsa.Ukikata tamaa tu unakuwa umeumaliza mwendo.
Jobless Never give up hata siku moja.
Saili za Sekretarieti nenda kafanye hata kama nafasi ni moja.
Sio zaidi ya mwaka.Wamekaa database zaidi ya mwaka?
Sio zaidi ya mwaka.
Mmoja miezi 10, wengine mwaka
Huyu wa mwaka mmoja, haamini kabisa....asali zipo kikubwa uvumilivuSio zaidi ya mwaka.
Mmoja miezi 10, wengine mwaka 1
Kumbe database ina kaa mwaka mmoja nilihisi miezi sitaSio zaidi ya mwaka.
Mmoja miezi 10, wengine mwaka 1
Mwaka mmoja imeanza mwaka janaKumbe database ina kaa mwaka mmoja nilihisi miezi sita
Kuna kipindi mtu unaweza kuwaza labda mliferi wote..... Lakini unawaza si ningeona hata re advertisementKuna swali najiuliza nakosa majibu au kada yangu niliofanyia interview imefutwa? Mbona kila placements sioni kada yangu?
Secondly, how comes mtu aliefanya ninterview nyuma let’s say July haitwi alaf mtu wa October au November anaitwa? Utumishi lazima muwe serious aiseee
KUna watu tokea may 2022 hakuna placement....angalia title ya huu uziKuna swali najiuliza nakosa majibu au kada yangu niliofanyia interview imefutwa? Mbona kila placements sioni kada yangu?
Secondly, how comes mtu aliefanya ninterview nyuma let’s say July haitwi alaf mtu wa October au November anaitwa? Utumishi lazima muwe serious aiseee
Kuna siku nafasi zikitoka unasikia majina hayo 2022 yanakuwa hewani...KUna watu tokea may 2022 hakuna placement....angalia title ya huu uzi
Nakazia.. utumishi ukiwazingatia sana lzma upate msongo wa mawazo..Kuna siku nafasi zikitoka unasikia majina hayo 2022 yanakuwa hewani...
Ninachojifuza ni kuwa mvumilivu endelea na mishe nyingine hawa PRSR ukiwafikilia sanaa unaweza kupata msongo wa mawazo bure