ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Hawakubali Mkuu kuna mmoja walishindwa kutambua Wakati wa written Ila tulichoenda kwenye oral wakamwambia haiwezekani akalete original na sijui kama walimruhusu baadaye.Hvi ukiwa na cheti kilichoscaniwa then ukakiprint kikawa coloured wanakikataa pia ukiena interview utumishi? Nisaidia please