[emoji23][emoji23][emoji23]Katika kulalamika kwamba hapa nilipo mazingira yake sio rafiki,kuna mkongwe mmoja akasema ningepelekwa huko Buhigwe ningerudi siku hiyo hiyo mkoani kwangu. Sijajua hapo Buhigwe ni chaka kiasi gani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwenetu wapi Buhigwe nini.
Ofisini unakutana na kiti cha mbao mguu mmoja mfupi.
Ofisini hapo nje zimepaki baiskeli na pikipiki za Watumishi.
Hapo hajaombwa matumizi kidogo kwa wazazi wa mke na wake. Kama ana mtoto anasoma ndio kabisaa.Laki 7.6 ikichinjwa PAYE, HESLB, NHIF, TALGWU inabaki laki 4.9 hadi laki 5.
Ingiza laki 5 kwenye matumizi yako na mke.
Kodi 100000
Kula kujibana sana 300000
Kula wewe kazini 90000
Hadi hapo imekata tayari lakini bado:
Nauli ya kazini
Bili umeme, maji, king'amuzi, vocha
Gesi au mkaa
Hujanunua nguo, mke hajasuka
Lazima ujenge urafiki na mangi
Buhigwe saa hivi pako vizurii ndio kwa Makamu wa rais[emoji23][emoji23][emoji23]Katika kulalamika kwamba hapa nilipo mazingira yake sio rafiki,kuna mkongwe mmoja akasema ningepelekwa huko Buhigwe ningerudi siku hiyo hiyo mkoani kwangu. Sijajua hapo Buhigwe ni chaka kiasi gani.
Kesho tarehe 20 kina boda boda anamalizia hela ya godoro (gesi alishalipa yote) then nasepa.Rudi mkuu tulime nanasi achana huko
Niko njiani Mkuu,nakuja.Njoo mkuu achana huko
Niko njiani Mkuu,nakujaAchana na hiyo kaz mkuu njoo tupige mishe mishe
Iko wapo mkuuLeo it kashusha pdf mapema Sana labda kuna mkeka mwingine unakuja, yajayo yanafurahisha
ππ Huko ni hatari sana.[emoji23][emoji23][emoji23]Katika kulalamika kwamba hapa nilipo mazingira yake sio rafiki,kuna mkongwe mmoja akasema ningepelekwa huko Buhigwe ningerudi siku hiyo hiyo mkoani kwangu. Sijajua hapo Buhigwe ni chaka kiasi gani.
pdf haijashiba majinashuhuda zimeadimika.
hata pdf la juzi lile naona kimyapdf haijashiba majina
Yaani!!! Ile ilikuwa na watu kama mia mbili hivihata pdf la juzi lile naona kimya
noma lakin nashangaa kimya π πYaani!!! Ile ilikuwa na watu kama mia mbili hivi
haikuwa bahati yetu ile π πYaani!!! Ile ilikuwa na watu kama mia mbili hivi