Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,365
- 2,842
[emoji23][emoji23][emoji23]Katika kulalamika kwamba hapa nilipo mazingira yake sio rafiki,kuna mkongwe mmoja akasema ningepelekwa huko Buhigwe ningerudi siku hiyo hiyo mkoani kwangu. Sijajua hapo Buhigwe ni chaka kiasi gani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwenetu wapi Buhigwe nini.
Ofisini unakutana na kiti cha mbao mguu mmoja mfupi.
Ofisini hapo nje zimepaki baiskeli na pikipiki za Watumishi.