dahh kweli nishasahau
Huyo hata akirudi atarudi Kwa id nyingnNaona " Itumishi wako fair " ameukimbia uzi.
Amina...na iwe hivyo kwakoMungu akupe hitaji la moyo wako
Hawajawahi kutoa placement yenye kada yako kabisa? au walishawahi kutoa?Ni asubuhi nyingine Tena.
Tunashukuru kwa uzima.
Tuwe na matumaini mapya.
Leo trh 13/01/2024 nakamilsha miez Saba(7) tangu kufanya oral naamini PDF ijayo ni zamu yangu[emoji120]..
Kitaa cha moto kwel kweli.
Huko DCEA kupambana na akina Escobar sio jambo dogo, binafsi hiyo mikimiki siitaki. Wengine kama mna nia pambaneni muingie huko
Ubarikiwe kwa Ujumbe mzito...Wote ambao walifaulu oral watapata nafasi kwa muda wao.
PSRS wanapoita watu wengi oral huku nafasi zikiwa chache sio kwamba wanataka kuwapotezea watu muda, hapana.
Hapo inakuwa ni Advantage kwa pande zote mbili(PSRS na Jobless). PSRS wataokoa muda wa kusaili mara kwa mara kwa nafasi zile zile kwa kuweka hao akiba ili waje kuwapangia nafasi baadae. Jobless wanakuwa wanaokolewa pia kwenye ishu ya muda na gharama za kwenda kufanya usaili tena.
Kwahiyo pindi ukiitwa kwenye usaili, kuwa na malengo 2 hata kama nafasi ni 1.
Lengo la kwanza, kafanye usaili ili upatw hiyo nafasi kwa muda huo.
Lengo la pili, kafanye usaili ili ubaki database endapo lengo la kwanza likikwama. Kukaa database ni ushindi kulinganisha na yule aliyeogopa kwenda kufanya kisa nafasi ni 1 na akaamua kutoenda ili asipoteze muda na pesa.
Mimi nilijiwekea hayo malengo 2 hasa lengo la pili baada ya kukandwa saili za mwanzo(saili 3). Bahati nzuri nikaangukia kwenye lengo la kwanza, pia hata kama ningekwama kwenye lengo la kwanza ningekuwa nishatimiza lengo la pili hadi sasa maana tayari kundi letu lote tushapangiwa kazi
Kivipi?Jamaa alishaaga
Bora watufikie na wengine ambao tunajihisi tupo database tu.IT ana pdf nyingi inaonesha kila siku anapandisha
hongera jobless mstaafu mtuombee na sisi majobless tuliobaki tuuone ufalmeMungu nimkubwa sana, namshukuru kwa hiki alichonitendea hatimae na mimi nimelamba asali.
Kila mtu atapata humu ndani, kikubwa hakuna kukata tamaahongera jobless mstaafu mtuombee na sisi majobless tuliobaki tuuone ufalme
Hao jamaa hata tangazo lao la kazi sijawahi liona.Huko DCEA kupambana na akina Escobar sio jambo dogo, binafsi hiyo mikimiki siitaki. Wengine kama mna nia pambaneni muingie huko
Hongera sana ukawe mtumishi mwema mwenye kuzingatia Sheria,Taratibu na Kanuni za utumishi wa Umma.Mungu nimkubwa sana, namshukuru kwa hiki alichonitendea hatimae na mimi nimelamba asali.
Asante sana mkuuHongera sana ukawe mtumishi mwema mwenye kuzingatia Sheria,Taratibu na Kanuni za utumishi wa Umma.
Poa poa mkuuUnaweza kua desk officer tu wala mtaani huendi au ukawa analyst unapiga zako HPLC kule unatuambia kama kweli huu unga mweupe ni cocaine etc.