Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMungu nimkubwa sana, namshukuru kwa hiki alichonitendea hatimae na mimi nimelamba asali.
Interview umefanya lini ?Mungu nimkubwa sana, namshukuru kwa hiki alichonitendea hatimae na mimi nimelamba asali.
Wamechomoa mwingine toka Data base ,kabugia asali JKCIhongera jobless mstaafu mtuombee na sisi majobless tuliobaki tuuone ufalme
Hivi kuchomolewa kutoka database wanatumia vigezo gani..,mbona kama sielewi au kuna namna?Wamechomoa mwingine toka Data base ,kabugia asali JKCI
Nashindwa kuelewa hata mimi,labda score rankingHivi kuchomolewa kutoka database wanatumia vigezo gani..,mbona kama sielewi au kuna namna?
Maana unakuta mfano kada moja na kwa mwaka zimetoka interviews tatu au nne nk ,so kwenye hizo zote kuna watu wanabaki Data baseHivi kuchomolewa kutoka database wanatumia vigezo gani..,mbona kama sielewi au kuna namna?
Asante KakaHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Nilifanya tarehe 1/11, hii ni direct sio data baseInterview umefanya lini ?
Na vipi ni direct placement au data base ?
j3 jamaa mapema yupo migiro 🤣 🤣Wamechomoa mwingine toka Data base ,kabugia asali JKCI
Hongera sana mkuu.Mungu nimkubwa sana, namshukuru kwa hiki alichonitendea hatimae na mimi nimelamba asali.
Aisee hongera sana mkuuuMungu nimkubwa sana, namshukuru kwa hiki alichonitendea hatimae na mimi nimelamba asali.
Hongera kakaMungu nimkubwa sana, namshukuru kwa hiki alichonitendea hatimae na mimi nimelamba asali.
yaani wewe wakija kutoa matokeo ya kada yako ni moja kwa moja masjaala ya wazi..Upande wangu bado ngoma draw, utumishi wamejaza viungo wakata umeme wote, game bado ngumu alafu kibaya jamaa wamebaki basi. Ila Mungu ni mwema ntatumia hata mipira iliyokufa (database) kumaliza game.
database inawapa watu ahueniWamechomoa mwingine toka Data base ,kabugia asali JKCI
Hahaaa noma mkuu ,utumishi wamejaza viungo roho ya shetani halafu wamepaki train mkuu , weka mbali na watoto hiyo formationUpande wangu bado ngoma draw, utumishi wamejaza viungo wakata umeme wote, game bado ngumu alafu kibaya jamaa wamebaki basi. Ila Mungu ni mwema ntatumia hata mipira iliyokufa (database) kumaliza game.
Hongera sana mkuu kila la kheri ukawe mtumishi mwema mkuuMungu nimkubwa sana, namshukuru kwa hiki alichonitendea hatimae na mimi nimelamba asali.
Data base mara nyingine inasuprise sana aisee, unakuta ulifanyia oral taasisi ya kawaida ila unakuja kuangukia kwenye litaasisi likubwa na linono[emoji119][emoji119]Wamechomoa mwingine toka Data base ,kabugia asali JKCI