Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

yaani wewe wakija kutoa matokeo ya kada yako ni moja kwa moja masjaala ya wazi..
[emoji23][emoji23],hivi matokeo ya written yanatokag sa ngap? Maana jana Co kwa paper lile khaaaa,ilihitaj critical thinking uku unajifkir unasikia zmebak 20 minutes
 
🤣 🤣 inategemea ila kwa experience yangu ni kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 5 usiku
 
Kuna wakati huwa nawaza labda kada za Ardhi huwa hazina Database.

Direct placement ikishatoka ndio basi tena, kinachobaki ni kusubiri tangazi lingine la ajira na siyo kutumainia database.
 
Wanaita ila ukiona tangazo leo, subiri kuanzia miaka 3+ mbele kuona lingine. Sio surveyors, land officer, valuer au carto.
Tuendelee kujitafuta kwenye kampuni za watu na kuzulumu wananchi. UNASTAAFU UNAJITOLEA.
 
Bwana wewe ulikiongea vizuri sana
 
Wanaita ila ukiona tangazo leo, subiri kuanzia miaka 3+ mbele kuona lingine. Sio surveyors, land officer, valuer au carto.
Tuendelee kujitafuta kwenye kampuni za watu na kuzulumu wananchi. UNASTAAFU UNAJITOLEA.
hivi urban planner nao si ni haohao watu wa ardhi??
 
Wanaita ila ukiona tangazo leo, subiri kuanzia miaka 3+ mbele kuona lingine. Sio surveyors, land officer, valuer au carto.
Tuendelee kujitafuta kwenye kampuni za watu na kuzulumu wananchi. UNASTAAFU UNAJITOLEA.
Jana wa2 wa ardhi km mlikuwepo mnapiga paper,mtihan ulikuaje mkuu?
 
Kazi ya ardhi ilikua ipi? Kama walisimamia utumishi lazma iwe na database
Kuna wakati huwa nawaza labda kada za Ardhi huwa hazina Database.

Direct placement ikishatoka ndio basi tena, kinachobaki ni kusubiri tangazi lingine la ajira na siyo kutumainia database.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…