Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Umeongea sahihi kabisa, mimi nna watu kadhaa nmeona nafasi hizi hizi 1,2 au 3 wanaomba lkn wakifika oral tu wanachukuliwa hata kama ni kwa kuchelewa
 
Hongera sana wapambanaji mlio ingia kwenye system, mama samia bado anakusudi na sisi vijana .

ambao mnasubiria placement kwa wakati wenu mtatusua wadau wangu.

ambao mna received ongezeni msuli. naelewa kitaa ni kikali sana,ila mtachomoka champs.
Amen Kiongozi....Kitaa ni taabu tupu!!!
Bora Mama(Rais)Amwage Faraja ya vijana mkeka ulioshiba kutoka Taasisi tofauti Database hata wakisema tukafate barua hata week mbili ni Poa cha msingi Jina lisome kwenye system(Placement) .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…