Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama kuna mtu Aliapply zile nafasi za Nmb basi afungue email yake, kwa wale wenye android waende kwenye neno "SPAM" wataona meseji ya advert kwa ajili ya aptitude test na pia wenye iphone waende sehemu iliyoandikwa "JUNK" pia wataona iyo meseji kwa ajili ya aptitude test. Test ni siku ya Jumanne ila mda upo tofauti tofauti.
Zile 300?

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Wazee mnaionaje PEPMIS
Ni mfumo mzuri kama ukiskiliza maelezo yao kwanini wameuleta kama kuondoa upendeleo wa kupandishwa madaraja kwa wanaostahili na vingine ila bado Una changamoto nyingi sana

Server yao inazidiwa nguvu na watumiaji kama ilivo katika mifumo mingine ya TZ, maelekezo hauajitoshelezi Kwa wote, kuanzia Ma supervisor,Tehama Hadi sie wengineo

Unakuta wewe ni Kada ya engineering ila Tehama wanakuwekea Role ya Walimu, unaenda kuhangaika nayo weee Hadi kwenye kufanya submitting likigoma ndo unakuja kujua shida uliwekewa role za Kada zingine

Bado ma supervisor nawao hawana uelewa wa kutosha kuhusu huo mfumo ni kama vile kwenye seminar walienda Kula per Diem Tu, unakuta supervisor unamuuliza swali nayeye anakuuliza

Ukitokea hizo changamoto naona ni mfumo mzuri kwa sababu umekusanya almost vitu vyote muhimu ambavyo mwajiriwa anaweza kuvikamilisha kupitia online

Kuna vitu waga vinahitaji usiri kama vile kuomba mkopo ni Bora kuomba online kimya kimya kuliko kutembea na Makaratasi ya Bank kila mtu ajue unakopa vile vile ni rahisi kupata salary slip

Na kizuri kingine ni kuhusu kuomba uhamisho kama mfumo utatumika vizuri itakuw rahisi sana, maana unaweza kuona uwepo wa nafasi za kuhamia katika Kada yako,kuona watu ambao mnaweza kubadirisha vituo nk
 
Hivi utumishi hawawezi kutumia mfumo wa kufanya mitihani online kwa mfano aptitude test then ukifaulu sasa unaenda oral moja kwa moja kuliko hii ya sasa unaenda then wakandaji wanafanya yao ikiwa mtu nauli umeunga unga tuu....
 
na practical wafanye mfumo gani
 
Hivi utumishi hawawezi kutumia mfumo wa kufanya mitihani online kwa mfano aptitude test then ukifaulu sasa unaenda oral moja kwa moja kuliko hii ya sasa unaenda then wakandaji wanafanya yao ikiwa mtu nauli umeunga unga tuu....
😂😂😂
 
Wakuu habarini,
Samahani naomba kuuliza kwa waliowahi kuitwa training za Taesa 1.huwa zipo vipi?
2.vipi gharama za chakula malazi etc unajitegemea?
 
Wakuu habarini,
Samahani naomba kuuliza kwa waliowahi kuitwa training za Taesa 1.huwa zipo vipi?
2.vipi gharama za chakula malazi etc unajitegemea?
training ni masaa yasiyozidi mawili na ni maswala yanayohusiana na interview pamoja na huko kwenye maofisi ya watu.
 
Back
Top Bottom