Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu habarini,
Samahani naomba kuuliza kwa waliowahi kuitwa training za Taesa 1.huwa zipo vipi?
2.vipi gharama za chakula malazi etc unajitegemea?
wanafundisha jinsi ya kujibu interview pia jinsi ya kubehave huko ofisini pia ethics za kazi. masaa hayazidi mawili labda miaka hii wawe wamechange mfumo
 
Hivi utumishi hawawezi kutumia mfumo wa kufanya mitihani online kwa mfano aptitude test then ukifaulu sasa unaenda oral moja kwa moja kuliko hii ya sasa unaenda then wakandaji wanafanya yao ikiwa mtu nauli umeunga unga tuu....
Walisema soon itaanza hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…