Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili ni swali la kuanzia interview, kuonyesha mtanange umeanza ila halina marks. Nimeongea na HR wameniambia hivyo
Hr wa wapi huyo?

Sekretarieti wasaili wakiwa hawajachoka huwa wanakwambia kabisa marks za kila swali hilo likiwemo jichanganye ulichukulie poa.
 
Ndio Mkuu, kiukweli oral kupita ni kazi ngumu sana, bora nisubiri placement kwa oral yangu ya mwaka jana Dodoma sirudi tena labda waniuwe[emoji38][emoji38]
Pole sana mzee , pia hongera.
Muhimu tusichoke kupambana tena na tena.
Ipo siku na sisi tutakuwa watumishi wa serikali
 
Nimetoka kupitia convo za mwanangu IT ambaye saiv ni kibaraka wa MAMA SHAMTE... kwakweli ile BACHELOR aliyonayo inatakiwa ijazwe WISDOM,SELF ESTEEM,SELF RESPECT ukweli ujobless unachosha,unakatisha tamaa ila isifike pahala ukajisuuza kwa watu wakakumaliza kwamba huyu ni RAJABU ni mzaliwa wa AKASHOMI (Kagera) anaenda taasisi A kazi B mshahara C katoka familia D kaishi maisha E.....inshort humu kuna watu wengi wapo watakaokuwa wanahusika na (UTUMISHI) “nahisi sina hakika” wanaweza hisi kwamba uyu mwajiriwa mpya ataweza kutunza Siri za serikali hasa iki kitengo chake? Inshort FURAHA ikizidi ni kama TAA ya GARI kuiungia umeme wa TANESCO[emoji41].......nakumbuka nlivoitwa interview niliomba kuuliza baadhi ya maswali humu ndani ili niyafahamu kwa kina “HUYUHUYU NDO ALIENAMBIA NINA WENGE KWAKUA NLIKUA NAJIELEZA SANA, SASA LEO HII NAANGALIA HAYA MAGAZETI ALIYOYACHAPISHA UMU NDANI [emoji28][emoji28][emoji28]nabaki kusema ALLAHUMA AMIN Mungu akamtangulie JOBLESS wetu na nnatamani nipate picha yake alivokua amekosa kujiamini MTAANI KWAKE[emoji28][emoji28]sijui alikua anafananaje (JOKES)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…