Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 621
- 1,298
IT achia pdf hilo jobless wafurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jobless mstaafu masjala ya wazi wanasemaje..??IT achia pdf hilo jobless wafurahi
Nani kakwambia?Swali halina marks hili!
Hr wa wapi huyo?Hili ni swali la kuanzia interview, kuonyesha mtanange umeanza ila halina marks. Nimeongea na HR wameniambia hivyo
[emoji4][emoji4], wewe mdau wa IT, ndo umetuletea huu utaratibu... ni motooooo!Wazee mnaionaje PEPMIS
Huko ni kwema, imani yangu barua zipo nyingi sana andaeni nauli muda wowote mambo yatakua sawajobless mstaafu masjala ya wazi wanasemaje..??
Huko ni kwema, imani yangu barua zipo nyingi sana andaeni nauli muda wowote mambo yatakua
AmenHuko ni kwema, imani yangu barua zipo nyingi sana andaeni nauli muda wowote mambo yatakua sawa
popoa.hata leo nilikua mbezi mwisho magufuli stand pale nilikua nasubiri IT ajichanganye tu niingie ofisi za shabiby..... 🤣 🤣Huko ni kwema, imani yangu barua zipo nyingi sana andaeni nauli muda wowote mambo yatakua sawa
MmmHili ni swali la kuanzia interview, kuonyesha mtanange umeanza ila halina marks. Nimeongea na HR wameniambia hivyo
Vp mzee na ww umekandwa leo hapo dodoma nn[emoji23][emoji23]Ila kukandwa
Vp mzee na ww umekandwa leo hapo dodoma nn[emoji23][emoji23]
Pole sana mzee , pia hongera.Ndio Mkuu, kiukweli oral kupita ni kazi ngumu sana, bora nisubiri placement kwa oral yangu ya mwaka jana Dodoma sirudi tena labda waniuwe[emoji38][emoji38]
sio pakwenda kule labda kama una ela za mchezo.. 🤣 🤣Ndio Mkuu, kiukweli oral kupita ni kazi ngumu sana, bora nisubiri placement kwa oral yangu ya mwaka jana Dodoma sirudi tena labda waniuwe😆😆
Ukifanya oral jipe matumaini lolote laweza tokea, narudia lolote laweza tokea hata kupitia databaseNdio Mkuu, kiukweli oral kupita ni kazi ngumu sana, bora nisubiri placement kwa oral yangu ya mwaka jana Dodoma sirudi tena labda waniuwe😆😆
Huyo jamaa hata sio mtu wetu😄, anatumalizia bando tuIT mtu wetu achia hyo PDF