Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tuungane kwenye maandamano ya amani ya j5 wiki hii nasi hadi ofisi za UTUMISHI pale UDOM Dkt. Asha Rose Miguro building huenda wakaelewa tunayoyapitia baada ya kutufanyisha ma oral interview yao😅😅.
 
Tuungane kwenye maandamano ya amani ya j5 wiki hii nasi hadi ofisi za UTUMISHI pale UDOM Dkt. Asha Rose Miguro building huenda wakaelewa tunayoyapitia baada ya kutufanyisha ma oral interview yao[emoji28][emoji28].
Wale suma jkt watakavyokufukuza hautaaminiii...yani 2mekaa tu kusubir oral tunasogezwa uko yan full hekaheka
 
Ukishazoea unasahau suruba zote,we hujui mtembea juani akipata pumziko kidogo kivulini husahau adha zote za jua.

Baada ya miezi tu unasahau kama ni wewe ulie kuwa unashinda kutwa nzima kwenye uzi wa ajira
Tumeumbiwa kusahau
ila kweli..
 
mpaka sasa nazani web itakayokua inaongoza tanzania kwa ubize ni hii ya utumishi.khaa..!!
hayo mambo ya zamani yashapita sasa hiv unaweza kukaa hata miezi mi 5 usiitwe kwenye interview
2021 ilikua ndani ya mwezi sasa hivi mtu unasahau hata kama ulishaapply.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…