Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari zenu
Naomba kuuliza swali, hv ni kawaida kwa mtu aliyepangiwa kazi halmashauri kucheleweshewa ela ya kujikimu au halmashauri yetu tuu??
Tunashughulikia vifungu pesa imeingia juzi bado vifungu havijasoma
Hii kwa ajira mpya wa Augost 2023 wa TAMISEMI.
 
IT anasubiri awaone jobless kwenye maandamano ili awapige panga juu kwa juu mkafanye kazi mlipoandamania 😂
 
Back
Top Bottom