Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari zenu
Naomba kuuliza swali, hv ni kawaida kwa mtu aliyepangiwa kazi halmashauri kucheleweshewa ela ya kujikimu au halmashauri yetu tuu??
Tunashughulikia vifungu pesa imeingia juzi bado vifungu havijasoma
Hii kwa ajira mpya wa Augost 2023 wa TAMISEMI.
 
IT anasubiri awaone jobless kwenye maandamano ili awapige panga juu kwa juu mkafanye kazi mlipoandamania 😂
 
Unaweza kuta mpandisha pdf ni office secretary siyo IT, mkiwa mnamwita IT yeye anatuchunia!!!! Joke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…