ingia kwenye account huko ndo wanaanza kuweka wale selected lakini subiri pdf utaiona tuZilizotoka ni zawatu wa ICT ,kada nyingine bado kaka....au ndo sina uzoefu na ujobless?
Sawa mlumbi wa hizi kazi.Mimi naona ngoja nisubirie PDF.ingia kwenye account huko ndo wanaanza kuweka wale selected lakini subiri pdf utaiona tu
Poa poaSawa mlumbi wa hizi kazi.Mimi naona ngoja nisubirie PDF.
Feed back mkuu naot wameshafanya yao.@wizy angalia picha ya Prok kwenye zile zilizopo kwenye website ya PSRS.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera sana Prok.Hopefully mrija wa asali haupo mbali ndugu. Ni kada Gani hiyo? Ili wengine tujue kama tumeshakandwa tayari au laahNahisi wameweka kada chache, nyingine bado
Pole sana mlumbi, there is always next time.Baada ya wizy kunishanishawishi kuangalia profile, si nikaangalia.
Nilichokikuta huko kinanisihi kuendelea kuwa chawa na kumpraise huyo boss wa kwenye kijiwe cha kujipatia vijesenti.
Usiku mwema jobless wote
Siku yako Moja tu broo amini hivyo,usikate tamaa kabisaBaada ya wizy kunishanishawishi kuangalia profile, si nikaangalia.
Nilichokikuta huko kinanisihi kuendelea kuwa chawa na kumpraise huyo boss wa kwenye kijiwe cha kujipatia vijesenti.
Usiku mwema jobless wote
Hongera Sana aisee,unatoboa naaminiNahisi wameweka kada chache, nyingine bado
Eeh wanaandika jobless akiwa amekandwa😂😂😂😂😂😂😂We ngoja ulale ndo ukute wamekupost umelala hahhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naangalia aliyelala tu ndo yeye
[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Usijali kaka utapata next time,usikate tamaa kuomba Tena na Tena Mungu wa kwetu soteDefeated 4x.
Noma sana
Sijui mkuu, nimeangalia asubuhi hii sijaiona.Kwani kaka hawa Utumishi PDF yetu ya NAOT lini?
Defeated
Ahsante sana Mlumbi,Pole sana mlumbi, there is always next time.