Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sijui mkuu, nimeangalia asubuhi hii sijaiona.
Cha muhimu waliochaguliwa wamejulishwa kupitia account zao
nadhani bado kada nyingine
wale ambao hawana Practical pdf wanaeza toa kesho usiku ili watu jumapili wasafiri kwa ajili ya oral interview jumatatu

ni subira tu mkuu

maana hata hawa wa ICT prac zao ni kesho ndo maana pdf wametoa usiku wa jana
leo wat wasafiri ili wawepo dar kesho kwa prac interview!!!!!
 
Dah! Japo tutafika ila kwa kuchoka sana
 
nadhani bado kada nyingine
wale ambao hawana Practical pdf wanaeza toa kesho usiku ili watu jumapili wasafiri kwa ajili ya oral interview jumatatu

ni subira tu mkuu

maana hata hawa wa ICT prac zao ni kesho ndo maana pdf wametoa usiku wa jana
leo wat wasafiri ili wawepo dar kesho kwa prac interview!!!!!
Hivi hawa ndo oral tena ni Dodoma [emoji23]
 
Swali la msingi ni kwanini mpaka leo watu bado wanategemea kazi za serikali?
Kwa sababu mtaani ajira private sector ni chache sana na zilizopo watu wanapeana kwa kujuana na vijana hawana fursa za mitaji kujiajiri , hamna anayependa kwenda kuteseka huko kwenye misululu ya watu 4000 kugombania nafasi 3 ,ni kwamba hali ya wasakatonge ni mbaya mno mtaani .

Ukitaka kujua jinsi hali ya ukosefu wa ajira nchi hii ilivyombaya angalia ratio kati ya Job applicants na job vacancies , fanya maths hapo uone ratio , utabaki kinywa wazi .
Mi kuna muda nahisi tushafika au soon tunafika levels za wenzetu westAfricans kama Nigeria kule ambao ni kiwanda cha kuzalisha criminals na caravans za illegal migrants kwenda Europe kwa Mitumbwi.

Shida ni kwamba sisi watu weusi huwa tunachukulia mambo easy sana , unakuta tunaona magnitude ya tatizo ilivyo ila utakuta hata serikali yenyewe hawaji na real implementable solution ,ni maneno ya kipuuz na kejeli dhidi ya wahanga wa hilo tatizo bila kujua ni ticking time bomb ambayo inaweza matatizo mengi sana ya kijamii .
 
Kwa sababu mtaani ajira private sector ni chache sana na zilizopo watu wanapeana kwa kujuana na vijana hawana fursa za mitaji kujiajiri , hamna anayependa kwenda kuteseka huko kwenye misululu ya watu 4000 kugombania nafasi 3 ,ni kwamba hali ya wasakatonge ni mbaya mno mtaani .

Ukitaka kujua jinsi hali ya ukosefu wa ajira nchi hii ilivyombaya angalia ratio kati ya Job applicants na job vacancies , fanya maths hapo uone ratio , utabaki kinywa wazi .
Mi kuna muda nahisi tushafika au soon tunafika levels za wenzetu westAfricans kama Nigeria kule ambao ni kiwanda cha kuzalisha criminals na caravans za illegal migrants kwenda Europe kwa Mitumbwi.

Shida ni kwamba sisi watu weusi huwa tunachukulia mambo easy sana , unakuta tunaona magnitude ya tatizo ilivyo ila utakuta hata serikali yenyewe hawaji na real implementatable solution ,ni maneno ya kipuuz na kejeli dhidi ya waganga wa hilo tatizo bila kujua ni ticking time bomb ambayo inaweza matatizo mengi sana ya kijamii .

Mkuu, umejibu kwa kina sana. Kwa sasa ukiangalia Ajira Portal, kuna nafasi tatu (3) tu za ajira.

Kwa mtu aliyeamua kulitazama kwa kina soko la ajira la Tanzania hasa zama hizi na likamhusu moja kwa moja kwa namna moja ama nyingine, ni vigumu kushangaa watu kuwa na unafuu wa imani kwa ajira za Serikali kuliko aina yoyote ya ajira, ikiwemo kujiajiri.
 
Back
Top Bottom