Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Em screenshot job qualifications na course uliyosomea
Nimesoma Bsc in Building Economics(Quantity Surveying) niliweka hiyo ila ikawa inagoma nikajaribu kubadili nikaweka Bachelor degree in Quantity Surveying maana ni hiyohiyo ila wapi!
 
Umesajiliwa na bodi ya ukadiriaji ujenzi.?
 
Nimesoma Bsc in Building Economics(Quantity Surveying) niliweka hiyo ila ikawa inagoma nikajaribu kubadili nikaweka Bachelor degree in Quantity Surveying maana ni hiyohiyo ila wapi!
utumishi huwa wanakosea setting ya qualifications za hii post ya quantity surveyor kama zile za mwaka jana na mwaka huu zote naona wanaita shahada ya uhandisi, hapo ili ikubali km una cheti cha aqrb weka sehem ya professional badala ya kuweka sehem ya graduate kama ikigoma wafuate pale Kivukoni au Dodoma au wapigie sim
 
Ahsante, Ngoja nijaribu hivi.
 
Nimesoma Bsc in Building Economics(Quantity Surveying) niliweka hiyo ila ikawa inagoma nikajaribu kubadili nikaweka Bachelor degree in Quantity Surveying maana ni hiyohiyo ila wapi!
portal ina technical problem, leo kutwa nzima ilikuwa under maintanance labda kesho itatengemaa....nami nimejaribu kumsaidia mtu kufanya application imeandika Failed na sikufanikiwa kabisa
 
Fafanua kidogo mkuu.
Wakati unajaza academic qualifications kuna sehemu pameandikwa program category ambazo ndio zile category wanazotangazia ajira sasa inatakiwa zifanane mf: ukiweka category ya IT bc ajira zinazokuhusu utakuwa unazikuta pale palipoandikwa IT and telecom ukikuta kwenye category nyingine itakataa kuomba hy kazi
 
Zipo sawa mkuu.
 
Ngoja nisikilizie, ahsante.
 
portal ina technical problem, leo kutwa nzima ilikuwa under maintanance labda kesho itatengemaa....nami nimejaribu kumsaidia mtu kufanya application imeandika Failed na sikufanikiwa kabisa
Poapoa mkuu, nitajaribu na kesho pia.
 
Habari zenu
Naomba kuuliza swali, hv ni kawaida kwa mtu aliyepangiwa kazi halmashauri kucheleweshewa ela ya kujikimu au halmashauri yetu tuu??
Bora ucheleweshewe ila upate, Halmashauri nyingine hela ya kujikimu raia hawajawahi kupata, utaambiwa kasubiri mshahara uingie ndio uje kuripoti.

Halmashauri inatakiwa kufumuliwe fumuliwe watu wanafanya kazi kwa mazoea sana.
 
Ukiona haujapewa kabisa ujue wajanja wameshaipiga. Naungana nawe zifumuliwe Halmashauri wajirekebishe katika haya masuala, hela ya kujikimu ni hakibya mtumishi kupewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…