Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nimesoma Bsc in Building Economics(Quantity Surveying) niliweka hiyo ila ikawa inagoma nikajaribu kubadili nikaweka Bachelor degree in Quantity Surveying maana ni hiyohiyo ila wapi!
Jaribu tena mfumo wameurekebisha tayari
 
Ukiona haujapewa kabisa ujue wajanja wameshaipiga. Naungana nawe zifumuliwe Halmashauri wajirekebishe katika haya masuala, hela ya kujikimu ni hakibya mtumishi kupewa
Basi hao wanaozipiga wana mizizi imechimbia chini huko.

Siku moja atakuja Rais anayejua madudu ya huku Halmashauri apitishe greda.
 
Bora ucheleweshewe ila upate, Halmashauri nyingine hela ya kujikimu raia hawajawahi kupata, utaambiwa kasubiri mshahara uingie ndio uje kuripoti.

Halmashauri inatakiwa kufumuliwe fumuliwe watu wanafanya kazi kwa mazoea sana.
sio ela ya kujikimu tuu hata mshahara haujawai wekwa huu mwez wa tatu🙌
 
sio ela ya kujikimu tuu hata mshahara haujawai wekwa huu mwez wa tatu🙌
Hizo ndio Halmashauri kuna madudu sana.

Mcheki mkuu wako wa idara au Afisa rasilimali watu uulize kuna shida gani, Huku hakuna vetting shida ni nini sasa muda wote huo.

Halmashauri ni jipu linalotakiwa kupasuliwa kwa sindano ya moto.
 
vetting ni kitu gani na inafanyikaje
 
Back
Top Bottom