Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Jaribu tena mfumo wameurekebisha tayariNimesoma Bsc in Building Economics(Quantity Surveying) niliweka hiyo ila ikawa inagoma nikajaribu kubadili nikaweka Bachelor degree in Quantity Surveying maana ni hiyohiyo ila wapi!
Nilifanikiwa mkuu, Shukrani sana.Jaribu tena mfumo wameurekebisha tayari
Una uhakika mama anakosa amani? anajua kinachoendelea? Nani kamuambia? Mbona hafanyi mabadiliko?Wanamfanya Mama(Rais) akose amani ...
Tuwe wavumilivu ...Tuzidi kuomba waache manyanyaso kwa vijana
Dimbwi la asali
Basi hao wanaozipiga wana mizizi imechimbia chini huko.Ukiona haujapewa kabisa ujue wajanja wameshaipiga. Naungana nawe zifumuliwe Halmashauri wajirekebishe katika haya masuala, hela ya kujikimu ni hakibya mtumishi kupewa
Oral mlipiga lini mkuu? Saiz upo taasisi gani?
Usilete utani humu mzee.kuna pdf lina page 20 uko
Wanatumia salary scale Yao au ni tgs?Dimbwi la asali
Ile ni executive agency Ina salary scale yake Mkuu. Hizo tgs haziwahusu watumishi wa huko.
Tgs za halmashauri na wizara hizo njaa kali.
sio ela ya kujikimu tuu hata mshahara haujawai wekwa huu mwez wa tatu🙌Bora ucheleweshewe ila upate, Halmashauri nyingine hela ya kujikimu raia hawajawahi kupata, utaambiwa kasubiri mshahara uingie ndio uje kuripoti.
Halmashauri inatakiwa kufumuliwe fumuliwe watu wanafanya kazi kwa mazoea sana.
😄😄😄 Daah!!Miaka 5 sio junior ni senior yaani expert
Hizo ndio Halmashauri kuna madudu sana.sio ela ya kujikimu tuu hata mshahara haujawai wekwa huu mwez wa tatu🙌
vetting ni kitu gani na inafanyikajeHizo ndio Halmashauri kuna madudu sana.
Mcheki mkuu wako wa idara au Afisa rasilimali watu uulize kuna shida gani, Huku hakuna vetting shida ni nini sasa muda wote huo.
Halmashauri ni jipu linalotakiwa kupasuliwa kwa sindano ya moto.
Angalia usije ukatafuta hata mshahara wa laki moja kwa mwezi!Wakuu, kwahy shirika likiwa lina salary scale yake yenyewe inamaanisha wanalipana vizuri au ipoje.?
NI mchakato unaofanyika kufuatilia Historia ya mtu kabla ya kumwajili.vetting ni kitu gani na inafanyikaje