naona wametoa tena tangazo la interview.hawa jamaa nahisi watakua na mtindio wa ubongo sio bureWasijitingishe kabisa au sioπππ
hawa jamaa ukikutana nao uso kwa uso unaweza ukaua.. π€£ π€£Hakika ukitaka ugonjwa wa afya ya akili , ni kuwapa dhamana hawa wapuuzi utumishi
kwahiyo na kiwango cha mshahara amejipangia πwanazingua ndo maana utumishiwakofair kaamua kujipa mwenyewe kazi.
[emoji1787]kumbe inawezekanaawanazingua ndo maana utumishiwakofair kaamua kujipa mwenyewe kazi.
we acha tu yaani kajimiminia asali ya 1.9 bila makato. π€£ π€£kwahiyo na kiwango cha mshahara amejipangia π
Swali lako mbona liko general sana, ukispecify itakuwa rahisi kusaidika
Kaula kweli kweli,si alisema atatuma na salary slip au sio uyu,mwsho wa mwez bado kwnwe acha tu yaani kajimiminia asali ya 1.9 bila makato. [emoji1787] [emoji1787]
vp na ile biashara alishafungua?, maana alisema sehemu aliyopangiwa kuna fursaKaula kweli kweli,si alisema atatuma na salary slip au sio uyu,mwsho wa mwez bado kwn
salary slip ya nini nakati ye mwenyewe yupo web sasa hivi..Kaula kweli kweli,si alisema atatuma na salary slip au sio uyu,mwsho wa mwez bado kwn
Taasisi gani? Wakala gani?Agency Fulani hivi
ujobless sometimes una raha zake wote tungekua na kazi hivi vituko tungevionea wapi.. π€£ π€£ππππ dah leo nimecheka kifala aisee jobless kazi ipo
humu hawezi ondoka labda angekua ashapata kazi π€£ π€£Huyu jamaa haikutakiwa ajibiwe chochote, kwanza si aliaga? Kaja kufanya nn tena?!
Halafu this guy, does he crossread what he writes?! for sure he has some cerebral issuesπhumu hawezi ondoka labda angekua ashapata kazi π€£ π€£
kafanyajeModerator keshafanya yake!!!
Mtu mwenye anataka kazi awezi kusema yupo tuu homeWhat is your current activity??
Sas jiroge useme upo upo tu hufanyi chochote mtaaani[emoji3][emoji3]hiyo taasisi si itaona inajiletea mzigo mwngne (Mtu asie mbunifu) .
Huoni reply za watu hazionekani humu!kafanyaje