Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

20240129_075548.jpg
 
Kuna kuitwa na kunakuwemo katika waitwa [emoji28][emoji28][emoji28]kwahyo hapa tunachoomba ni kuitwa sio pdf kutoka pdf kama inatoka leo na haumo afu , pdf itoke December na umo kipi bora[emoji2095][emoji28]
pdf lenyewe siku hizi limekua hanasa
 
utumishi kama mmeshindwa kutoa matokeo ya watahiniwa wenu tafathali msitoe matangazo ya ajira wala kuita watu interview.mnapotezea watu muda na pesa zao pia kama mmeamua kutotoa matokeo tulieni hivyo hivyo.
Wasijitingishe kabisa au sio😄😄😄
 
Back
Top Bottom