Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mambo si mambo aisee.alafu si walisema watakua wanatoa matokeo kwa wakati mbona imekua viceversa.
Inaoneka wanasafisha Database ya mwaka 2022(Mh.Mhagama agizo) ambayo majina walikuwa wameweka pending .......
Mungu atutetee kwenye nyakati ngumu kama hii maana kitaa nako ni kwa moto
 
Kuna dogo kalamba asali anakula 1.9m ila analalamika kuwa ndogo
Siku zote mishahara haijawahi kutosha kikubwa maokoto yapo?

Kama hayapo basi ni ndogo sana, maana hiyo hela ina makato hapo, kuna ndugu, wazazi na jamaa wa karibu, watoto, mke ukijitoa ww binafsi.

Kuna loan board.

Ila kila kitu ni mipango kutoboa ni kujiongeza na mipango ya Mungu.

Watu kibao walishatoa shuhuda humu kuwa wamewahi kupigwa vizinga na wajeda huku wakiamini hao wajeda wanapokea mpunga mrefu kuliko wanaopokea hao waliopigwa vizinga.
 
Wakuu kwema sijaona mkeka wa kuwaita watu interview ya TIC ila nimejibiwa hivi kwenye portal na mkeka haujatolewa wiki ya tatu Sasa inaenda hii maana yake Nini?
Screenshot_20240128-095349.jpg
 
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]unakuta kuna mtu humu mkeka wake utatoka December 2024......si tulioenda na ma jeans interview tunajua tushakandwa tuko mtaani tunauza SISO tu
 
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]unakuta kuna mtu humu mkeka wake utatoka December 2024......si tulioenda na ma jeans interview tunajua tushakandwa tuko mtaani tunauza SISO tu
muda si mrefu nyie wa muhimbili mnaitwa..
 
Back
Top Bottom