zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 779
- 1,527
Inaoneka wanasafisha Database ya mwaka 2022(Mh.Mhagama agizo) ambayo majina walikuwa wameweka pending .......mambo si mambo aisee.alafu si walisema watakua wanatoa matokeo kwa wakati mbona imekua viceversa.
Mungu atutetee kwenye nyakati ngumu kama hii maana kitaa nako ni kwa moto