Sure mkuu, tuishiSiku yako Moja tu broo amini hivyo,usikate tamaa kabisa
Zimepita tusubiri zingineDefeated 4x.
Noma sana
Pole bro kuna next time, mwanaume ni anajikung'uta vumbi na kusimama.Defeated 4x.
Noma sana
😂😂😂😂Umesheck tena?ndo majibu hayoKuna rafik angu wa loan board ameandikiwa not selected sasa sjui ni system imesheck au wametoa....jaribn kuangalia wale wa loan officer
Mmmh kumekucha🙌😂😂😂😂Umesheck tena?ndo majibu hayo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]not select kushake!!! [emoji1787] ile status ya interview never lie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesheck tena?ndo majibu hayo
Hivi kama hujaandikiwa kitu ,yani account inasoma vile vile tu shortlisted for interview ndio kusema umesahaulika au?😂😂😂😂Umesheck tena?ndo majibu hayo
😂😂😂😂ile uhakika ukiiona ndo hiyo hiyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]not select kushake!!! [emoji1787] ile status ya interview never lie
Hapana wata update tuHivi kama hujaandikiwa kitu ,yani account inasoma vile vile tu shortlisted for interview ndio kusema umesahaulika au?
Login log out wataupdateHapana wata update tu
Duuuh hatari Sasa kumekuchaaNasikia na wakaguzi pia wengine wamesha ekewa
Naona yangu ya heslb ba naot ziko vile vile tu?Hapana wata update tu
Kuna watu nimeona tayari auditor na loan officerNaona yangu ya heslb ba naot ziko vile vile tu?
Hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]not select kushake!!! [emoji1787] ile status ya interview never lie
Hadi ile ya afsa biashara?Hakuna kitu kama hicho.
Aisee noma sana kaka.Sijui mkuu, nimeangalia asubuhi hii sijaiona.
Cha muhimu waliochaguliwa wamejulishwa kupitia account zao
Congratulations tukapambanie hapo God bless you broSelected for oral interview HESLB
Not Selected for oral interview NAOT