Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
[emoji1787][emoji1787]kaongezeni received uko. au hamuutaki umeneja [emoji1787] [emoji1787]
Hvi zile kozi ambazo ametaja pale ndio hzo hzo tu ambao wanaapply , kama kozi yako aipo awakubali kuomba siomaajira ya kujuana yale
Asilimia ndogo sanaaaaa kama ipo iyo.maajira ya kujuana yal
Wazo.....TAKUKURU naona pia wametoa nafasi kaomben..
Japo wanasimamia wenyewe.
Mie kozi yangu haipo sijui itakuwaje aiseeHvi zile kozi ambazo ametaja pale ndio hzo hzo tu ambao wanaapply , kama kozi yako aipo awakubali kuomba sio
Mie kozi yangu haipo sijui itakuwaje aisee
Kwa degree sidhan kama wanahitaji hyo jkt aiseeMimi kozi ipo ila sina cheti cha Jkt[emoji23][emoji23] yani dah
Kwa degree sidhan kama wanahitaji hyo jkt aisee
maajira ya kujuana yale
Mmmh kwahyo ushauri ni upi hapo kiongozi 😐maajira ya kujuana yale
Ndio lazima uwe umepta jktKwani kuapply TAKUKURU Mpaka uwe na cheti cha JKT??
apply tu huwezi jua bahati yako coz sio wote wanapita kwa staili hioMmmh kwahyo ushauri ni upi hapo kiongozi 😐
yaah ni kweli mie mwenyewe nimeona ila hizi za takukuru si kama za utumishi zina mambo mengiAsilimia ndogo sanaaaaa kama ipo iyo.
Ila kuna rafik yangu alipata kwenye zile nafasi za mwaka jana. Yeye Ali ingia kama mtakwimu
Mmmh hpo nshafeli sasa na ukiwa nacho unakiweka wap sasa maana sehem ya kuapply sion sehem ya kukiweka, au unaenda nacho ukiitwa kwenye usaili?Ndio lazima uwe umepta jkt
Mmmh hpo nshafeli sasa na ukiwa nacho unakiweka wap sasa maana sehem ya kuapply sion sehem ya kukiweka, au unaenda nacho ukiitwa kwenye usaili?
Hata haujafeli dear,na wala hauendi nacho kweny usaili hiko chet,mm niliomba za mwaka jana na nilifanya interview,nina degree ya ElectricalMmmh hpo nshafeli sasa na ukiwa nacho unakiweka wap sasa maana sehem ya kuapply sion sehem ya kukiweka, au unaenda nacho ukiitwa kwenye usaili?
Ishu ya umri vp walizingatia?Hata haujafeli dear,na wala hauendi nacho kweny usaili hiko chet,mm niliomba za mwaka jana na nilifanya interview,nina degree ya Electrical
Tangazo la mwaka jana jkt walikuwa wanazingatia kwa assistant investigation officers. Ila upande wa degree walikuwa hawazingatii.Hata haujafeli dear,na wala hauendi nacho kweny usaili hiko chet,mm niliomba za mwaka jana na nilifanya interview,nina degree ya Electrical
Hata haujafeli dear,na wala hauendi nacho kweny usaili hiko chet,mm niliomba za mwaka jana na nilifanya interview,nina degree ya Electrical
Ukiingia kwenye portal yao kipengele cha umri kipo ukiweka taarifa zako so kama umeshavuka umri ina kutema.Ishu ya umri vp walizingatia?