Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

TAKUKURU naona pia wametoa nafasi kaomben..
Japo wanasimamia wenyewe.
Wazo.....
Wanapoimalisha safu ya Ulinzi(Takukuru,Police,Uhamiaji ajira) wakumbuke kuimarisha safu ya viungo wa kati na washambuliaji(Utumishi ajira) hapa Ushindi wa Team hakuna mashaka kwa Mama(Rais) ....
 
1st FEB 2024.

Tunaenda kuanza mwezi wa pili.

Tutarajie yaliyo mazuri kwa utumishi ,kikubwa uzima .

[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]

IT kiukweli Imani Imepotea.

Utumishi mioyo Yetu Imeumia.

[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Asilimia ndogo sanaaaaa kama ipo iyo.
Ila kuna rafik yangu alipata kwenye zile nafasi za mwaka jana. Yeye Ali ingia kama mtakwimu
yaah ni kweli mie mwenyewe nimeona ila hizi za takukuru si kama za utumishi zina mambo mengi
 
Mmmh hpo nshafeli sasa na ukiwa nacho unakiweka wap sasa maana sehem ya kuapply sion sehem ya kukiweka, au unaenda nacho ukiitwa kwenye usaili?

Mmmh hpo nshafeli sasa na ukiwa nacho unakiweka wap sasa maana sehem ya kuapply sion sehem ya kukiweka, au unaenda nacho ukiitwa kwenye usaili?
Hata haujafeli dear,na wala hauendi nacho kweny usaili hiko chet,mm niliomba za mwaka jana na nilifanya interview,nina degree ya Electrical
 
Hata haujafeli dear,na wala hauendi nacho kweny usaili hiko chet,mm niliomba za mwaka jana na nilifanya interview,nina degree ya Electrical
Tangazo la mwaka jana jkt walikuwa wanazingatia kwa assistant investigation officers. Ila upande wa degree walikuwa hawazingatii.

Ila hili tangazo la mwaka huu naona wanahitaji uwe umepita jkt hata kama unadegree ila ni vizuri mtu kujaribu

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Hata haujafeli dear,na wala hauendi nacho kweny usaili hiko chet,mm niliomba za mwaka jana na nilifanya interview,nina degree ya Electrical

Hivi cheti cha darasa la VII huwa wanakizingatia? Mana toka nimalize sijawahi kukifuata.
 
Back
Top Bottom