Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hata sehem ya kuatach hakuna hicho chet cha jkt kwa alie na degree,sijui kwa ass.investigator
 
Hivi cheti cha darasa la VII huwa wanakizingatia? Mana toka nimalize sijawahi kukifuata.

Hivi cheti cha darasa la VII huwa wanakizingatia? Mana toka nimalize sijawahi kukifuata.
Yaan ukiwa unajaza details zako utaona kitu ambacho ni lazima wamewekea nyota,standard seven haijawekewa star kama una apply mchunguzi mkuu
 
Mmmh hpo nshafeli sasa na ukiwa nacho unakiweka wap sasa maana sehem ya kuapply sion sehem ya kukiweka, au unaenda nacho ukiitwa kwenye usaili?
Usijidanganye vigezo vyote vnazngatiwa,written unafanya ata oral unawez kufka ila utatemwa kwnye oral vyeti vnakaguliwa ukiw kwny oral pale na jeshi
 
Leten shuhuda wakuu..

IT kafungulia kuanzia leo onwards PDF za placements ztakuwa za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…