Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tuendelee kuwaombea Utumishi Mungu awajaalie ...maana tuliona mambo ya taasisi kuajiri zenyewe..
 
Yani ukitaka kujua utumish hawak serious oral interview kwa mujibu ratb n saa 1 but sjui shida inakua wap mpk mnakuj kuanz saa 5/6 uko hawjui wngine unakua umepang ukimaliz tu interview uondok direct ukapand bas urud home ili kupunguz gharam za kulala gct sku iyo..km wangekua serious saa1 au saa 2 wa2 wanaanz kufny interview tunawaona kbsa wko serious lkn wanajivuta vuta hawako organised kbsaaaaa kwnye kila kitu
Wenzako wapo kazini wanatega wapate extra duty🤣🤣
 
4.jpeg.jpg
 
Taasisi wanaajiri kimyakimya.
Siku hizi hawawezi kuajiri kimyakimya.... mfumo umebadilika
Lazima wapate kibari kutoka Serikali kuu cha kuajiri hapo ndo ngoma inapokuwa nzito!!
Inaonyesha washauri wa Mama(Rais) ndani ya Serikali Kuu kunawakimbizi wengi Maana sio kwa roho hiyo walionayo kutuona vijana tunateseka alafu hawataki kutoa vibali vya ajira na kunamapungufu Mengi ya wafanyakazi!!!
Inauma sanaaa.............!!!!!!!!!
 
nssf uliskia walioitwa? au unaongea tu
 
nssf uliskia walioitwa? au unaongea tu
Sasa Kiongozi Tangazo lenyewe linasema wanahitaji watu wa ndani ....update ya nn ya majina kama walionyesha Ubaguzi ...
Ni sawa na TRA walichofanya"walijifanya wanahubiri Uwazi mwisho wa siku kimetokea nn...
Utumishi +Taasisi wote lao moja na walifanya hivyo kwa lengo ........[emoji40]
Tuzidi kupaza sauti"Mungu hachoki wala halali sauti itafika mpira utarudi kama zamani....
 
Back
Top Bottom