Yes!! Tena nyingi
walitia kwa kutoa pdf na walituma msg ktk simu zetuAisee kumbe wapo chap hvi. Kwahiyo majina ya usaili walitoa kwa pdf na kupeleka public.
Au ndio yale ya kutumiana msg au e mail
Wenzako wapo kazini wanatega wapate extra duty🤣🤣Yani ukitaka kujua utumish hawak serious oral interview kwa mujibu ratb n saa 1 but sjui shida inakua wap mpk mnakuj kuanz saa 5/6 uko hawjui wngine unakua umepang ukimaliz tu interview uondok direct ukapand bas urud home ili kupunguz gharam za kulala gct sku iyo..km wangekua serious saa1 au saa 2 wa2 wanaanz kufny interview tunawaona kbsa wko serious lkn wanajivuta vuta hawako organised kbsaaaaa kwnye kila kitu
Kuna mtu alisema uwenda marehemu ndo alikuwa IT mpandisha mapdf ya placement daah jobless wafurahisha sanaTutarajie mkeka mwezi wa 3 nadhani mwezi huu utumishi wanaomboleza msiba wa mfanyakazi wao
Au na hili la kuchelewesha placement tumwambie makonda[emoji1]ningekua na uwezo wa kujigeuza popobawa hawa utumishi wangenikoma yaani ningefagia mpaka walinzi...
itabidi aisee
mmhh majobless kazi ipo..
Sawa nimekupata boss.walitia kwa kutoa pdf na walituma msg ktk simu zetu
Siku hizi hawawezi kuajiri kimyakimya.... mfumo umebadilikaTaasisi wanaajiri kimyakimya.
nssf uliskia walioitwa? au unaongea tuSiku hizi hawawezi kuajiri kimyakimya.... mfumo umebadilika
Lazima wapate kibari kutoka Serikali kuu cha kuajiri hapo ndo ngoma inapokuwa nzito!!
Inaonyesha washauri wa Mama(Rais) ndani ya Serikali Kuu kunawakimbizi wengi Maana sio kwa roho hiyo walionayo kutuona vijana tunateseka alafu hawataki kutoa vibali vya ajira na kunamapungufu Mengi ya wafanyakazi!!!
Inauma sanaaa.............!!!!!!!!!
Sasa Kiongozi Tangazo lenyewe linasema wanahitaji watu wa ndani ....update ya nn ya majina kama walionyesha Ubaguzi ...nssf uliskia walioitwa? au unaongea tu
Vp umeanza kudata nnkuna pdf uko