mavumbamakasha
JF-Expert Member
- Aug 18, 2020
- 228
- 449
Tukomae na psrs mpaka siku pdf lije na majina yetuTuachane na Utumbo wa TGS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukomae na psrs mpaka siku pdf lije na majina yetuTuachane na Utumbo wa TGS
Labda hzo ndo watakazo baki nazo maana kma taasis nyngi zitatak kuajir wenyew,watabakiwa na nn ss[emoji3]Halfu psrs walivyo wajinga ajira za watendaji wamewapokonya tamisemi nyoko zao
Ila utumishi wababaishaji sana, wamekiwasha ili iweje wakati kilishazima na mda umeshaisha, daaah!!naona wameamua kukiwasha tena 🤣 🤣
yaani wamenishtua nikajua tayaaaaari nishalamba asali. 🤣 🤣Ila utumishi wababaishaji sana, wamekiwasha ili iweje wakati kilishazima na mda umeshaisha, daaah!!
Daaah since tarehe 2 mpaka leo no placement. Sijui inakuaje hii na wamesema kuna uhaba mkubwa wa watumishi wa umma..naona wameamua kukiwasha tena 🤣 🤣
Mimi pia inanipa shida sana kuamini kama mheshimiwa Rais analijua hili, Angekuwa ameshafanya jamboKiukweli sijui kama Muheshimiwa Rais anajua hii hali.
Inabidi tupaze sauti, watoto wa wakulima ndio tunaopitia kadhia hii.Mimi pia inanipa shida sana kuamini kama mheshimiwa Rais analijua hili, Angekuwa ameshafanya jambo
Wamezidi kuwa slow sananaona wameamua kukiwasha tena 🤣 🤣
Inabidi kuwasagia kunguni haswa habari zimfikie mkuuKiukweli sijui kama Muheshimiwa Rais anajua hii hali.
Umeona ehhh,yani n balaa bora ingekua ivi maana unawez subir ki2 ambacho hakipo,wazaz wanauliza enhe ayo matokeo yanatoka lini najibu sjui naonekana spo serious.Sekretarieti inashindwa Nini hata kama taasisi haijajiandaa, toa matokeo ya waliopata kazi ila waambie wasubiri kupangiwa vituo.... hiyo ni rahisi mtu kusubiri hata mwaka.
Utaratibu wa sa ivi mtu unaweza kuwa unalalamika placement zinachelewa kumbe oral yenyewe ulipata 15
mapumbavu yale hayana akili.yanawaza kuposti picha tu...Sekretarieti inashindwa Nini hata kama taasisi haijajiandaa, toa matokeo ya waliopata kazi ila waambie wasubiri kupangiwa vituo.... hiyo ni rahisi mtu kusubiri hata mwaka.
Utaratibu wa sa ivi mtu unaweza kuwa unalalamika placement zinachelewa kumbe oral yenyewe ulipata 15